Ndio, wewe ni ombaomba

Ndio, wewe ni ombaomba

ha Ha Ha Ha hata Mie Siku Hizi Kumpa Hela Mwanamke Huwa Najickia Vibaya Sana Kutokana Na Kwamba Huwa Hawana Fadhila Hata Uwape Bahari Bado Atakuona Mwehu
Hii ni kweli.
Kuna wengine hata shukrani hakuna, kama alikuazima vile.
 
Ulipo feri mkuu ni kumtumia hata pesa za mwanzo kama yeye ni omba-omba then wewe ni danga.
Huwezi kujua kama bahari imejaa kada au samaki ni lazima uvue mara nyingi ndipo uje Na conclusion kuwa sehemu hii ya bahari Haina samaki Ina kasa
 
Juzi nilimpa mwanamke elfu kumi, iliniuma sana, sikupata hata usingizi!
249bc84a-7303-4952-8cc9-27b58220f61f-jpg.719816
 
Hahaha
Hivi unajua hata maongezi tuu unaweza mwelewa mtu yukoje?!
Wewe mwenyewe uamue unadeal na watu wa aina gani!! Ben ten, umri wa kati au wazee!! Uelewa wao kupitia mazungumzo, busara na umakini wa kujibu maswali!
Hii interview ni F2F ama telephone interview?
 
Mwanamke asiponiomba hela namwacha, maana ananilemaza!
 
Pambaneni na hali zenu, mbona nyie mnaomba papuchi kila leo hatusemi, kama huwezi kutoa hela baki na mkeo, bai ze wei acheni uzinzi
 
Back
Top Bottom