Ndio, wewe ni ombaomba

Ndio, wewe ni ombaomba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ukimpa Mara moja tu, basi ndo anahamishia majeshi jumla inakuwa frequently wiki haijaisha ashakutandika mizinga hata minne
Hahaaaa. Si ndio raha ya kuchonga mzinga sasa..

Hivyo wewe kama wewe unatushaurije Wanawake hasa wale mnaowaita Ombaomba wafanye nini ili wasiwe hivyo msivyotaka?
 
Mkuu Bujibuji, umetupa jiwe gizani. Lililowapata wamepaniki! Walete walete!
 
Akina matonya wamekuwa wengi, isipokuwa style ya umatonya wameibadili!
 
Hahaaaa. Si ndio raha ya kuchonga mzinga sasa..

Hivyo wewe kama wewe unatushaurije Wanawake hasa wale mnaowaita Ombaomba wafanye nini ili wasiwe hivyo msivyotaka?
Kiukwel nawashaur watafute hata pa kujishikiza sehem ambayo watakuwa wanapata pata pesa ili wasiwe totally dependant kwa waume zao mana ni kero. Kuna simu zingine zikiita tu mtu unajua kabisa kinachotaka kuongelewa hapo ni mzinga kabla hata hujapokea
 
Hahahaaaa. Haya bana Mkuu.

Nadhani na elimu inahitajika sana na sio upande wa wanawake tu na hata kwenu nyie wanaume. Sababu nyie kama nyie mnatofautiana mitazamo yenu yaani wapo ambao wanaona ni sawa na wengine wanaona sio sawa.
 
Mmmmh mwanaume yupi Huyo anayeona kupigwa mizinga ni sawa[emoji1] [emoji1] ,wengine wanatoaga kishingo upande ila mi huwaga natoa jibu straightly
 
Hajar inaonekana ni mpigaji mizinga mashuhur et?
 
Mmmmh mwanaume yupi Huyo anayeona kupigwa mizinga ni sawa[emoji1] [emoji1] ,wengine wanatoaga kishingo upande ila mi huwaga natoa jibu straightly
Hahahaaaa. Hivyo unataka kusema wote wanaoombwa na kutoa hakuna anayetoa kwa roho moja?
 
Hahahaa. Ndio. [emoji85] [emoji85]

Ila haka katabia nyie wenyewe ndio mlikapa mizizi sababu si ndio ilikuwa mkiombwa lazima mtoe na lait mngekuwa mnawanyima wala hiki kilio kisingekuwepo.

Yaani wangeshajizowelea maisha ya kujitegemea pasi kutegemea mtu.
 
Back
Top Bottom