Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,271
Jinsi ndio hyo ya kurud mkoan kuanza na mojaHahaaaa. Hakuna jinsi.
Jinsi ndio hyo ya kurud mkoan kuanza na mojaHahaaaa. Hakuna jinsi.
usijiweke pembeni bibie.......vaa tuu uhalisia....tazizo huwa mnaanza mapema sana.....halafu ukinyimwa eti unakauka.....mnawafukuza hata wenye nia dhabiti....muwe na huruma jamani .... kweli mnapaswa kuhongwa lakini isiwe ndo kigezo cha kupima utu wangu.....pesa ngumu mjue....!!Hahahaa. Ndio. [emoji85] [emoji85]
Ila haka katabia nyie wenyewe ndio mlikapa mizizi sababu si ndio ilikuwa mkiombwa lazima mtoe na lait mngekuwa mnawanyima wala hiki kilio kisingekuwepo.
Yaani wangeshajizowelea maisha ya kujitegemea pasi kutegemea mtu.
Nivae uhalisia tena duuh. Sijawahi kuwa na tabia hiyo mie na sidhani kwa umri nilio nao kama inaweza tokea ikawa tabia yangu hiyo.usijiweke pembeni bibie.......vaa tuu uhalisia....tazizo huwa mnaanza mapema sana.....halafu ukinyimwa eti unakauka.....mnawafukuza hata wenye nia dhabiti....muwe na huruma jamani .... kweli mnapaswa kuhongwa lakini isiwe ndo kigezo cha kupima utu wangu.....pesa ngumu mjue....!!
kutafuta kwingi nako shidaaa.....Nivae uhalisia tena duuh. Sijawahi kuwa na tabia hiyo mie na sidhani kwa umri nilio nao kama inaweza tokea ikawa tabia yangu hiyo.
Hahahaaa. Sasa ukiona amekukaukia si unatafuta mwingine au haiwezekani?
Hahaaaa. Haya bana.kutafuta kwingi nako shidaaa.....
We vipi hujawahi kuletewa ata big bom?wenye bayati zenu mhhh
[emoji122] [emoji122] [emoji122] vzr,hawa wapiga mizinga wanaturudisha nyuma kimaendeleoNivae uhalisia tena duuh. Sijawahi kuwa na tabia hiyo mie na sidhani kwa umri nilio nao kama inaweza tokea ikawa tabia yangu hiyo.
Hahahaaa. Sasa ukiona amekukaukia si unatafuta mwingine au haiwezekani?
Juzi friday nilikuwa na chart na msichana mmoja kujuana hali tu ilikuwa majira ya mchana,mazungumzo yakaisha naamka jumamosi asubuhi nakuta msg anajilaumu jana yake usiku kapoteza elfu 20,nikamjibu pole sana,akarudia kunitumia msg tena,nikamjibu pole sana,baada ya hapo kapiga kimya kabisa,sasa sijui alitegemea ningemchangia,wanawake wasikuihizi wanatanguliza sana njaa,ujaona hata crack inapoanzia unabebeshwa majukumu kama wewe ndiyo umemleta mjini,bora nibaki na mwezangau!!!Nivae uhalisia tena duuh. Sijawahi kuwa na tabia hiyo mie na sidhani kwa umri nilio nao kama inaweza tokea ikawa tabia yangu hiyo.
Hahahaaa. Sasa ukiona amekukaukia si unatafuta mwingine au haiwezekani?
Bora waseme kabisa nauza k kiasi fulani au kota kiasi hiki,kuliko hiyo mizinga hisiyokuwa na kichwa wala miguu,[emoji122] [emoji122] [emoji122] vzr,hawa wapiga mizinga wanaturudisha nyuma kimaendeleo
Ahsante sana. Nadhani kwa kuwa najua kuitafuta ndio sababu nakuwa na huruma sana aisee.[emoji122] [emoji122] [emoji122] vzr,hawa wapiga mizinga wanaturudisha nyuma kimaendeleo
Mwanamke wa nguvu[emoji122] [emoji122] [emoji122]Ahsante sana. Nadhani kwa kuwa najua kuitafuta ndio sababu nakuwa na huruma sana aisee.
Na kiuhalisia wanaume huwa mnapata shida sana kuisaka hiyo pesa na ukimuona mtu ana pesa jua kaitolea jasho kweli kweli.
Hahahaaaa. Hapo alikuwa anataka ujiongeze. Lol.Juzi friday nilikuwa na chart na msichana mmoja kujuana hali tu ilikuwa majira ya mchana,mazungumzo yakaisha naamka jumamosi asubuhi nakuta msg anajilaumu jana yake usiku kapoteza elfu 20,nikamjibu pole sana,akarudia kunitumia msg tena,nikamjibu pole sana,baada ya hapo kapiga kimya kabisa,sasa sijui alitegemea ningemchangia,wanawake wasikuihizi wanatanguliza sana njaa,ujaona hata crack inapoanzia unabebeshwa majukumu kama wewe ndiyo umemleta mjini,bora nibaki na mwezangau!!!
Kabisaaa yaani. Ahsante sana.Mwanamke wa nguvu[emoji122] [emoji122] [emoji122]