Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

huyu fala kaleta habari as if kila mtu anaijua
Sasa fala nani kati yako na yeye? Ukipewa hint basi chunguza na kutafuta habari kamili, unataka mpaka utafuniwe?
JamiiForums-315511507.jpg


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hapo watasema tuungane kama taifa, na tuwe na uvumilivu na subra maana ndio kauli zao kama kuna matatizo
Kwa hiyo habari mbaya kama hii kwa nchi wewe haikuhusu ndugu yangu? Hadi uambiwe tuungane? Hivi huku tunaelekea wapi? Badilika. Tanzania ikihujumiwa unahujumiwa wewe na mnyororo wa vizazi vyako mijini na vijijini. #Wake up. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom