Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Mbona wwe hajakuwa!? Au wwe siyo raia wake!!??
Kuua raia wake haimaanishi aliua raia wote, lakini kama Mungu asingesikiliza vilio vya Watanzania wengi basi watu wengi mpaka sasa wangekuwa wameuliwa
 
Kuna jambo watu huwa hawalijui kuhusu kuokotwa kwa maiti za watu kwenye viroba wakati wa jpm. Kiufupi wakati ule wasafirishaji wa wahamiaji haramu nao walibanwa sana kiasi cha kuwaficha wahamiaji hao katika mazingira magumu kiasi cha kukosa hewa na inatokea wanakufa wakiwa njiani na waliwekwa kwenye viroba na kutupwa mtoni. Ndomana katika maiti nyingi zilizookotwa kwenye viroba sijawahi kuona ndugu wametambua maiti hizo kwakuwa zikitoka nchi za jirani. Sasa tuache kumsingizia magu kuhusu maiti za viroba. Na sasa kama mazingira yakibanwa mtazikuta tu maiti vichakani
 
Naweza kusema una akili kama za Jiwe/Kichaa
 
Huu utetezi ni rasmi wa dola? Mbona umechelewa ndugu? Wasio na imani nyingi watakuwa wanakosea wakihisi imechukua muda kuuchonga?
 
Tuishie kusema tu bureaucracy ya kiTanzania inatumaliza. Haiwezekani mtu aje na Marlboro halafu siku anaondoka anataka USD 240M. Eneo letu tumelitoa bure Yani. Aliyetuloga alikua na funguo.
 
Ndio Athari za kushabikia wawekezaj waje kuwekeza halafu wakija mnaposaini mikataba nao you do not read between the lines ; wenzenu wanawachomekea vipengele kwenye herufi ndogo na nyinyi kwa uvivu wenu wa kusoma au kwa 10% mnazohongwa mnasaini mikataba ambayo baadae inaumiza wananchi kwa kutakiwa kulipa maillions ya $$ kama adhabu kwa sababu ya ujinga wenu!!
 
Braza niishie kusema tu tuna wajinga kwenye maofisi. Mtu alikuja hakua na hata senti, akatoa wazo la kuanzisha kiwanda Cha sukari ili atwngeneze umeme tukamkubalia kwa sharti lazima Tanesco inunue.. Tukampa shamba hekta 22,000 za bure bila yeye kutupa sehemu kwenye mtaji. Halafu akataka tujikomiti kwenye kufinance mradi tukamkubalia. Siku Moja tukamwambia hujatimiza makubaliano tutakuondoa. Anakuja mtu mwingine anaandika barua oh tutakusaidia wakati Kuna aliyekwisha andika tunavunja mkataba. Tumeitwa mahakamani tukaenda bila kulipa Hela ili mapingamizi yetu yasikilizwe. Yani ni tafrani tupu. Technicality tulimwopigwa ni shauri ya kutokua na centre Moja inayoshughukikia mikataba na namna ya mawasiliano humo serikalini. Kwa vyovyote tulitakiwa kuwa either sehemu ya hukumu au lah. Shamba lenyewe ni hilo Bakhresa amejenga kiwanda Cha sukari. Ujinga ni kwamba Presidential Delivery Unit, wizara ya nishati, wizara ya ardhi, katibu mkuu kiongozi na TIC wote wanaandika barua. Kila mmoja kwa wakati wake. Yani ukisoma mwenendo wa kesi utashangaa mno.
 
Tuishie kusema tu bureaucracy ya kiTanzania inatumaliza. Haiwezekani mtu aje na Marlboro halafu siku anaondoka anataka USD 240M. Eneo letu tumelitoa bure Yani. Aliyetuloga alikua na funguo.
Unadhani wawekezaji wanakuja na masanduku ya hela? This is an expression of your stupidity. Kwenye dunia hii kutembea na fedha siyo kwamba ni ushamba tu bali hata sheria za fedha za kimataifa zinazuia. Ndiyo maana Airport lazima u declare unaingia na hela ngapi!!
 
Braza samahani sijatukana mtu. Unaweza nicorect bila kunitukana. Pia nimebahatika kusoma chanzo Cha kesi Toka siku ya kwanza mpaka wanapewa hiyo award. Tuna changamoto kwenye namna tunavtowasiliana na wawekezaji. Huwezi kutoa ardhi yako halafu usipewe umiliki hata kidogo. Huo ni upumbavu.
 
Nani mpumbavu sasa kati ya anayepoteza kesi ICSD na wewe uliyemfukuza mwekezaji bila kufuata taratibu?
 
Back
Top Bottom