Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

0DCF1ADE-9B46-44F6-A9FB-4E740EE06857.jpeg
 
Wakati wa Mwendazake, tuliambiwa haya mambo yalikuwa yanatokea kwasababu Mwendazake alikuwa anapambana na mabeberu na mafisadi katika vita ya kiuchumi.

Sasa leo Mwendazake hayupo, je hiyo vita ya kiuchumi nani anapambana nayo?

Serikali ya Mama Samia na yenyewe iko katika vita ya kiuchumi na mabeberu?

Au tutasingizia tena wapinzani waliokuwa wanachelewesha maendeleo?

Nchi ngumu sana hii!
 
Wakati wa Mwendazake, tuliambiwa haya mambo yalikuwa yanatokea kwasababu Mwendazake alikuwa anapambana na mabeberu na mafisadi katika vita ya kiuchumi...
Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
 
Back
Top Bottom