Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

Lisu si amesomeshwa kwa kodi za watanzania aje aonyeshe uanasheria wake sasa aikomboe ndege.

Lakini ninanvyojua atakuwa anashangilia sana huko aliko kwamba li ndege la Samia limekomeshwa


Wakati wa Magufuli na Kabudi zilikamatwa nyingi na zikaachiwa na kuendelea kupiga kazi.

Sasa hivi tunaambiwa nchi imefunguliwa na mahusiano ya kidiplomasia ni mazuri mno alafu ndege inakamatwa
 
Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
Yote yawezekana chini ya jua never say never. Its the reason DR Congo will remain poor for millenia to come sababu tu mabeberu wana maslahi nayo.
 
Wakati wa Mwendazake, tuliambiwa haya mambo yalikuwa yanatokea kwasababu Mwendazake alikuwa anapambana na mabeberu na mafisadi katika vita ya kiuchumi.

Sasa leo Mwendazake hayupo, je hiyo vita ya kiuchumi nani anapambana nayo?

Serikali ya Mama Samia na yenyewe iko katika vita ya kiuchumi na mabeberu?

Au tutasingizia tena wapinzani waliokuwa wanachelewesha maendeleo?

Nchi ngumu sana hii!
Hayo ni matokeo ya viongozi wasio wazalendo ..hasa hasa kikwete hayo madeni ni madeni ya kifisadi na mikataba ya kifisadi ....yani kikwete alikuwa anafanya ufisadi endelevu wa kimikataba, hata akija rais mpya lazima ule mkataba ama uvunjwe kisha tuchavushe deni la kifisadi au tuendelee nao tupigwe kifisadi.
Huu ndiyo mchezo wahuni wa ccm wamekuwa wanafanya ...ni aina ya mikataba yenye pembe mbili
A) Ukiufuata mkataba basi Nchi inakuwa inapigwa kifisadi
B) na Ukiuvunja basi unadaiwa kulipa fidia ya kifisadi.
Mfano ya kikataba hiyo ni mkataba wa BANDARI YA BAGAMOYO.AMBAO MUHUNI MKWERE alitaka kulidumbukiza taifa
HAYA YOTE YANALETWA NA MARAIS WAISIHARAMU
 
Hivi comment kama hizi huwa mnatoa bila kufikiri? Beberu gani aje kugombana na nchi omba omba? Yaani hata budget yako unakopeshwa au kupewa tu hlafu u-compete na bebeeru? GDP yako ni ngapi; your trade volume comparison by world standard ni negligible! my foot! kwani google mnaitumiaje; for watching porn!
Usimlaumu Salary Slip kwa uandishi wake kwa kuwa hiyo ilikuwa ndiyo sentensi ya Magufuli kila akikosa reasoning ya UJINGA wake kwenye decision making. Ni sarcasm
 
Back
Top Bottom