Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege Nzuri Ila Njaa Inauma Sana Hapo Ndiyo Kila Kitu Ni Kibaya Tu Hadi Hapo Hali Ya Maisha Itakapotengemaa
 
Kasome "economies of scale" utapata jibu. Ila kwa kifupi kadiri uzalishaji unavyoongezeka ndivyo gharama za uzalishaji zinavyopungua.

Kuhusisha dhana hiyo na ununuzi wa ndege vs kupungua kwa abiria ati kwa sababu kipato chao piankinapungua, si sahihi kiuchumi. Kuwepo kwa ndege nyingi kutapelekea kushuka kwa nauli na kuongezeka abiria na bado faida inapatikana.

ATCL kuongeza ndege maana yake itaongeza uwezo wa kusafirisha, hadi nje ya nchi, na vivo hivyo kupunguza gharama za usafirishaji.

Naamini menejementi ya ATCL imejipanga vizuri kwa hilo na kukabiliana na ushindani.
sijui unaongea unachokijua au unakariri hiyo economy of scale kwani fast jet walifanyaje na leo hii hiyo faida si ndo wanaiona ?poor you makampun kibao wanakula loss nyie mnanunua kwa mbwembwe tena kwa cash pye.
 
Sio "unaonekana". Ni luxury hasa. Zaidi ya 80% hawana uwezo kuzipanda na waliobaki hawana sababu kuzipanda. Ndege nchi hii zinatumiwa na chini ya 2% ya watu. Hiyo pesa kununua hayo madudu ingefaa iende hospitalini mashuleni na mashambani. Kama kuna ziada iende kwenye uhuishaji wa viwanda.
Ndege zinazopishana kwenye viwanja vya ndege Tanzania zinabeba misukule?
 
Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Sababu fastjet inachechemea ndio hatuna sababu ya kuwa na airline yetu? Ukitaka kula lazima uliwe....usafiri wa ndani kwa ndege umekuwa kero kubwa sababu ya hawa watu ambao hawana interest za muda mrefu. Tusidanganyane hapa kwamba ni lazima kila tunapotaka kwenda tutumie usafiri wa barabara. Ndege zinarahisisha sana mambo.
 
unabana matumizi maana yake watu na wenyewe watabana matumizi hivyo watu wachache zaidi watapanda ndege kipindi hiki kuliko zamani, ndio maana fast jet wamepunguza route
Sasa unaongeza ndege huku watu hawana income ya kupanda hizo ndege biashara itafanyikaje?
Ni kama una biashara yako kisha wafanyakazi wakapunguziwa mishahara yao, na wakati huo huo ukawaletea bidhaa za bei ghali na luxury unategemea wananunue

Umenena vizuri sana Madam Chinchilla
 
Mchawi ni wnyw

OVA
Hapa Wachawi wa Maendeleo watakuja tu, na nimeona hapo Juu wameanza kulalamika, mtalalamika sana mwaka huu, na bado mwakani mtalia sana macho ya damu, lakini lazima Tununue Ndege.

Ninyi ndo awamu ya nne mlilalamika sana kuwa eti hata Rwanda wametuzidi, sasa mlidhani fedha za kununulia hizo ndege zingetoka wapi?

Lazima tufunge mkanda hadi malengo yetu yatimie, sasa hatutamsikiliza mtu tena hadi pale Ndege zetu zitakaponunuliwa, na bado Reli ya Standard gauge pesa zote zinaenda kwa kampuni husika, yaan mikanda tuliyojifunga tutaifungua mwaka 2019
 
Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.

Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Huwa mnataka nn lakin,maana kila kitu mnapinga
 
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na kampuni ya kutengeneza ndege ya Bombardier yenye makao makuu nchini Canada kununua ndege tatu mpya miezi michache tangu iliponunua ndege mbili mpya za Bombardier Q400.

Ndege za CS300 zinauwezo wa kubeba abiria 150 kila moja tofauti na Q400 ambayo inabeba abiria 70.

Mkataba huo mpya unahusisha ununuzi wa ndege moja aina Bombardier Q400 inayotarajiwa kuwasili nchini mwakani na ndege nyingine mbili ni Bombardier CS300 ambazo haijajulikana zitawasili lini.



========

Bombardier CSeries will sell both the Government of Tanzania, which represents its first order in seven months for its new commercial aircraft.


In total, the transaction includes two CS300 and a Q400 aircraft. According to list prices, the order is valued at 203 million US.

The aircraft will be operated by Air Tanzania, the national airline of the United Republic of Tanzania.

The last order of CSeries was in April, when the US carrier Delta Air Lines has confirmed the purchase of 75 CS100 aircraft, a firm order valued according to catalog prices, is estimated at US $ 5.6 billion .

Monday, Bombardier had delivered its first CS300 – the largest device family CSeries aircraft – the Latvian carrier airBaltic, its launch customer.

cwynnlrucaacozw.jpg


This aircraft, which can carry up to 160 passengers, must make its first commercial link between Riga and Amsterdam on 14 December.

Overall, airBaltic ordered 20 Bombardier CS300 devices.

So far, the aircraft manufacturer and rolling stock received 360 firm orders for its new aircraft, including 235 for the CS300.


Source: The Quebec Telegram
Chapecoense
 
Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.

Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Unawekaje Matumaini kwa serikali ambayo hukuipigia kura, na kushangaaa kila siku unatoa povu humu, ukuweza kubadili kwa kura utaweza kubadili kwa manung'uniko
 
Nina uhakika hata Rais hajui wanavyomzunguka kwenye hizi purchase.
Ujue wewe hashindwe kujua Rais, mwenye vyombo vyote vya usalama, na wataalam, labda nchi mzima unajua peke yako
 
Back
Top Bottom