Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Hapa Wachawi wa Maendeleo watakuja tu, na nimeona hapo Juu wameanza kulalamika, mtalalamika sana mwaka huu, na bado mwakani mtalia sana macho ya damu, lakini lazima Tununue Ndege.

Ninyi ndo awamu ya nne mlilalamika sana kuwa eti hata Rwanda wametuzidi, sasa mlidhani fedha za kununulia hizo ndege zingetoka wapi?

Lazima tufunge mkanda hadi malengo yetu yatimie, sasa hatutamsikiliza mtu tena hadi pale Ndege zetu zitakaponunuliwa, na bado Reli ya Standard gauge pesa zote zinaenda kwa kampuni husika, yaan mikanda tuliyojifunga tutaifungua mwaka 2019
maendeleo ni muhim,,, lkn lazma yapimwe... api yana manufaa zaidi kwa wananchi.... personally, sidhani kama ndege ni hatua ya maendeleo.,,.

serikali inatakiwa kutumia resources zake kuwfikia watu wengi as possible... sasa ndege zenywe wanao ziafford ni wachache sana... na pia kampuni za ndee zinapata hasara almost kila mwaka...

Naona hizi fedha zinge endeleza infrastructure sector ingne lkn sio aerocrafts
 
Fast jet walikua wanaruka kwa kutumia njia za ATCL,mwenye njia zake karudi inabidi wafute ruti mkuu.
Njia za ndege sio kama njia za daladala wakati mwingine uibe njia au ugeuzie kati
Unajichanganya. Mara njia haziibiki mara fastjet kaiba za Atcl
 
Kupanga ni kuchagua!

Tukipewa mimi na wewe milioni moja, mathalani, hakika baada ya tuseme mwaka, tutakuwa na maendeleo tofauti. Mfano mwingine ni wa wafanyakazi wawili walioajiriwa siku moja, kwa kazi inayofanana na mshahara unaofana, lakini maendeleo yao binafsi yatapishana.

Nimetoa mifano hiyo nikirejea maelezo ya Rais kuhusu ununuzi wa ndege. Kwamba Tz ina sekta ya utalii ambayo ina mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa, hususani pato la Taifa. Kwa misingi hiyo ni budi kuwa na usafiri wa anga wa uhakika kwa ajili ya watalii na hata usafiri wa humu ndani.

Pamoja na hayo, angani, ardhini na majini ni maeneo muhimu ya usafirishaji yenye faida na hasara zinazotofautiana lakini zenye kuwiana.
ndege si route za ndani?
 
Kumbe ndo maana mkulu ziara yake ya kwanza ni kwa Kagame alijifunza kununua mandege tu bila kuangalia watapanda akina nani na kwa Uchumi upi? Na ndo najua sasa kwa nn Chato kunajengwa uwanja wa kimataifa. Sifa zingine jamani
Hivi ni kweli chato wanajenga uwanja wa ndege wa kimataifa? Mbona hata picha hakunaga?
 
Tupate ndege kwanza na sisi tule maisha, dawa mbona zinaweza kusubiri tu. Na kwa miungu tulionao serikalini watazuia vifo vinavyotokana na ukosefu wa dawa hadi tukamilishe idadi ya ndege 40.
 
Kwahiyo ulitaka pesa ya kununulia nduge upewe wewe na hao maskini wanaolia njaa?? Acheni kufikiri kitoto. Maendeleo lazima yatakuja tu na maskini lazima watakuwepo tu. Mfano mdogo tu, itazame nchi kama Marekani(USA) ni nchi yenye utajiri mkubwa sana lakini mpaka leo kuna watu ni omba omba na hawana hata mahali pa kulala, sembuse itakuwa Tanzania?
Acheni Rais na Serikali yake wafanyekazi. Ingekuwa ni CHADEMA wanafanya haya, mngewaunga mkono. Acheni unafiki wenu. Miaka miwili tu iliyopita ninyi mlikuwa mnaiponda Serikali kwa kushindwa kuliendesha shirika lake la ndege, leo hii Serikali inanunua ndege zake, bado mnaponda. Mbona hamueleweki ninyi watu? Mnataka Rais awafanyie nini kwa mfano?
Tumuache Rais afanyekazi yake bhana!
Rais Magufuli; fanya kazi baba, usiangalie kushoto wala kulia, wewe piga kazi mkuu.
We nae tumia akili kidogo. Maendeleo kuja ni lazima ufuate vipaumbele sahihi. Ukianza kununua gari badala ya kusomesha watoto na kuwapa huduma bora za makuzi utajiri utaishia kwako. Wao watarudi umaskini tu.

Na hilo ndo tatizo kubwa la waswahili. Mnapenda sana show games na kuamini maendeleo yanakuja tu bila kusotewa.
 
Mkuu fastjet wamepunguza route au wameachia route?
Hizo route walizokuwa wanatamba nazo zote ni za ATCL,Twiga kafufuka hawana jinsi ni kuachia tu.
KQ wana safari 49 kwa wiki,asilimia 90 ni za ATCL,wataachia tu.
Kuna route ya Dar London,Dar -Beijing,Dar-Comoro,Dar-Lusaka,Dar Lubumbashi,Dar -J'burg zote hizi zilikua zinashikwa aidha na precision au Fast jet watazitema tu
Hivi we uko sawasawa kweli?
 
Kwahiyo ulitaka pesa ya kununulia nduge upewe wewe na hao maskini wanaolia njaa?? Acheni kufikiri kitoto. Maendeleo lazima yatakuja tu na maskini lazima watakuwepo tu. Mfano mdogo tu, itazame nchi kama Marekani(USA) ni nchi yenye utajiri mkubwa sana lakini mpaka leo kuna watu ni omba omba na hawana hata mahali pa kulala, sembuse itakuwa Tanzania?
Acheni Rais na Serikali yake wafanyekazi. Ingekuwa ni CHADEMA wanafanya haya, mngewaunga mkono. Acheni unafiki wenu. Miaka miwili tu iliyopita ninyi mlikuwa mnaiponda Serikali kwa kushindwa kuliendesha shirika lake la ndege, leo hii Serikali inanunua ndege zake, bado mnaponda. Mbona hamueleweki ninyi watu? Mnataka Rais awafanyie nini kwa mfano?
Tumuache Rais afanyekazi yake bhana!
Rais Magufuli; fanya kazi baba, usiangalie kushoto wala kulia, wewe piga kazi mkuu.

Kuna mtu kamzuia asifanye kazi?
 
Suala la ndege.

Sidhani kama serikali ya tz inahitaji kununua ndege.. ingeacha hii sekta iendelezwe na private sector.

hii ni kutokana na mashirika ya ndege ni complex kuoperate, hatuna strategy ya markets both local and international. na pia it is not affordable by the majority.

instead hizi juhudi zingeekwa kwenye reli..., tungepara faida nying mnoo... kama kusafirisha bulk goods at a go... hii inasaidia kupunguza transport costs hence kushuka kwa bei ya bidhaa... pia itasaidia watu kupata affordable transport which means ni faida kwa wa kipato cha chini na pia mapato ni mengi koz ya customer base kubwa....
kwa ufupi.... railway sector ina manufaa kuliko ndege kwa nchi yetu.
Umenena vyema. Huku arusha hayo madege walikua wanayatangaza kwa hiace na vispika kama wauza dawa za mende.
 
Hapa Wachawi wa Maendeleo watakuja tu, na nimeona hapo Juu wameanza kulalamika, mtalalamika sana mwaka huu, na bado mwakani mtalia sana macho ya damu, lakini lazima Tununue Ndege.

Ninyi ndo awamu ya nne mlilalamika sana kuwa eti hata Rwanda wametuzidi, sasa mlidhani fedha za kununulia hizo ndege zingetoka wapi?

Lazima tufunge mkanda hadi malengo yetu yatimie, sasa hatutamsikiliza mtu tena hadi pale Ndege zetu zitakaponunuliwa, na bado Reli ya Standard gauge pesa zote zinaenda kwa kampuni husika, yaan mikanda tuliyojifunga tutaifungua mwaka 2019
Kuna mawili. Ni aidha huna mpango wa kuumwa au hutibiwi hospitali za umma. Hatubishi kuna vipaumbele lakini kuna vitu si vya kusubiri, acha UFALA hali ni MBAYA na soon itageuka janga. Ethiopian Airlines ina airbus nyingi na ni kampuni kubwa tu duniani but inawafaidisha nini Waethiopia kila siku wanaandamana mambo magumu? Wengine kila siku tunawakamata Tanga wanatoroka nchi yao kwenye malori kama vifurushi, mbona hawapandi hizo ndege zao waende popote duniani si ndio maendeleo?
 
Yaani hawa Fastjet waliowezesha % kubwa ya Watanzania kupanda ndege ndio unasema wakatafute pengine ? Ushajiuliza bila uwepo wao hali ingekuwaje ?

Aliyetuloga Watanzania sijui atafufuka lini

Sina tatizo na Magufuli kufufua shirika letu lakini nitakuwa mpumbavu nisipoheshimu revolution waliyoleta Fastjet kwenye airlines industry
napongeza sana juhudi za serikali kuimarisha shirika la ndege.. lakin fastjet is there to stay. will be the only cheapest airline kuliko hizo bombardier.

fastjet forever.
 
Yani sawa unanunua luxury car wakati watoto wako wanakonda kwa njaa!! Kuna haja gani ya ndege wakati watanzania pesa hakuna na maisha magumu mtaani???
siku hizi mmechenji gia angani sio mapanga boy tena zenye joto ni luxury kwikwikwi Magu kawashika pabaya mtasema yote ila kunyoka mtanyokaa na kukoma unyumbu.
 
Hali zenyewe mifukoni mwa wananchi ni mbaya, ni uchumi gani tulionao utatuletea faida?.

Tungeongeza moja kwa ajili ya route za kimataifa. Tukasikilizia

Kwa soko la ndani hizi mbili tulizonazo tungezisikilizia kwanza
jisemee wewe uliyezoea kuishi kwa rushwa wengine tumezoea vipato vyetu vya kawaida hivyo hatuna shida mwisho wa mwezi mshahara unaingia ila wewe bandari utaisikia redioni nikushauri kalime matikiti ujanjaujanja umeisha
 
Back
Top Bottom