Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Jaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslahi kwa wafanyakazi wa umma na kuajiri watu. Tunafungua shule mwezi Januari Mwakani kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimu ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini.
Jee kwenye yale maeneo ambayo waalimu wapo lakini wanafunzi wanafika hadi darasa la saba na hawajui kusoma na kuandika??????
'Uboreshaji wa maslahi bila uzalishaji wa tija ni sawa na kuota ndoto ya mchana tu.'
 
Huwezi kutenganisha maendeleo ya vitu na ya watu.

Ukijenga shule ni budi kuweka miundo mbinu ya kuifikia na huduma zingine za kijamii.

Ukihamasisha kilimo, ni budi kuwepo na miundo mbinu ya kufukia mashamba na kusomba mazao.

Na kadhalika
mwenzako anamaana kwamba maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu. sio kimoja tu kikimbie kingine kikiwa kimesimama. kwasasa nguvu inaelekezwa kwenye maendeleo ya vitu tu, huku maendeleo ya watu yakiwa yamesahaulika. mfano mwaka huu tumeanza kutoa elimu bure, ila hatukuajiri walimu. hii inamaana wanafunzi wengi wamekosa fursa ya kupata elimu bora, japo hata kama wangeajiri isingekua bora kihivyo, ila kungekua na nafuuu. pia ajira za watu zimefungiwa kabatini kwasababu ambzo kwa yoyote mwenye akali anafahamu ni zauongo. watu hao wangeaajiriwa, wangeboresha maisha yao. Tukumbuke kuleta maendeleo ya vitu na watu, na sio ya vitu pekee.
 
Hapa Wachawi wa Maendeleo watakuja tu, na nimeona hapo Juu wameanza kulalamika, mtalalamika sana mwaka huu, na bado mwakani mtalia sana macho ya damu, lakini lazima Tununue Ndege.

Ninyi ndo awamu ya nne mlilalamika sana kuwa eti hata Rwanda wametuzidi, sasa mlidhani fedha za kununulia hizo ndege zingetoka wapi?

Lazima tufunge mkanda hadi malengo yetu yatimie, sasa hatutamsikiliza mtu tena hadi pale Ndege zetu zitakaponunuliwa, na bado Reli ya Standard gauge pesa zote zinaenda kwa kampuni husika, yaan mikanda tuliyojifunga tutaifungua mwaka 2019
Jidanganye kuna kufunga mikanda hapa. mkanda umejifunga wewe na watoto wako na familia yako wenzako wanaendelea na maisha kama kawaida wewe ishia kupiga porojo kwenye mitandao humu uone mwisho wake
 
Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Fast jet walikua wanaruka kwa kutumia njia za ATCL,mwenye njia zake karudi inabidi wafute ruti mkuu.
Njia za ndege sio kama njia za daladala wakati mwingine uibe njia au ugeuzie kati
 
Kumbe ndo maana mkulu ziara yake ya kwanza ni kwa Kagame alijifunza kununua mandege tu bila kuangalia watapanda akina nani na kwa Uchumi upi? Na ndo najua sasa kwa nn Chato kunajengwa uwanja wa kimataifa. Sifa zingine jamani
 
Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!

Wakati tunapambana kupata maendeleo ya vitu tukumbuke maendeleo ya watu. Maendeleo ya vitu ni Barabara, Reli, Ndege, Meli nk. Maendeleo ya watu ni Elimu bora kwa wote, Huduma bora za afya, Ajira, Makazi, Chakula nk.

Jaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslahi kwa wafanyakazi wa umma na kuajiri watu. Tunafungua shule mwezi Januari Mwakani kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimu ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini.

KUTOKA WAPI!

Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.

Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.

pesa za rambirambi wahanga wa Bukoba wamepeleka huko Mungu anawaona.

swissme

unabana matumizi maana yake watu na wenyewe watabana matumizi hivyo watu wachache zaidi watapanda ndege kipindi hiki kuliko zamani, ndio maana fast jet wamepunguza route
Sasa unaongeza ndege huku watu hawana income ya kupanda hizo ndege biashara itafanyikaje?
Ni kama una biashara yako kisha wafanyakazi wakapunguziwa mishahara yao, na wakati huo huo ukawaletea bidhaa za bei ghali na luxury unategemea wananunue

Yani sawa unanunua luxury car wakati watoto wako wanakonda kwa njaa!! Kuna haja gani ya ndege wakati watanzania pesa hakuna na maisha magumu mtaani???

Ndio shida ya kuongozwa na kilevi...maskini!

Hali zenyewe mifukoni mwa wananchi ni mbaya, ni uchumi gani tulionao utatuletea faida?.

Tungeongeza moja kwa ajili ya route za kimataifa. Tukasikilizia

Kwa soko la ndani hizi mbili tulizonazo tungezisikilizia kwanza

Chato hakuna dawa
Yani sawa unanunua luxury car wakati watoto wako wanakonda kwa njaa!! Kuna haja gani ya ndege wakati watanzania pesa hakuna na maisha magumu mtaani???
Kwahiyo ulitaka pesa ya kununulia nduge upewe wewe na hao maskini wanaolia njaa?? Acheni kufikiri kitoto. Maendeleo lazima yatakuja tu na maskini lazima watakuwepo tu. Mfano mdogo tu, itazame nchi kama Marekani(USA) ni nchi yenye utajiri mkubwa sana lakini mpaka leo kuna watu ni omba omba na hawana hata mahali pa kulala, sembuse itakuwa Tanzania?
Acheni Rais na Serikali yake wafanyekazi. Ingekuwa ni CHADEMA wanafanya haya, mngewaunga mkono. Acheni unafiki wenu. Miaka miwili tu iliyopita ninyi mlikuwa mnaiponda Serikali kwa kushindwa kuliendesha shirika lake la ndege, leo hii Serikali inanunua ndege zake, bado mnaponda. Mbona hamueleweki ninyi watu? Mnataka Rais awafanyie nini kwa mfano?
Tumuache Rais afanyekazi yake bhana!
Rais Magufuli; fanya kazi baba, usiangalie kushoto wala kulia, wewe piga kazi mkuu.
 
unabana matumizi maana yake watu na wenyewe watabana matumizi hivyo watu wachache zaidi watapanda ndege kipindi hiki kuliko zamani, ndio maana fast jet wamepunguza route
Sasa unaongeza ndege huku watu hawana income ya kupanda hizo ndege biashara itafanyikaje?
Ni kama una biashara yako kisha wafanyakazi wakapunguziwa mishahara yao, na wakati huo huo ukawaletea bidhaa za bei ghali na luxury unategemea wananunue
Mkuu fastjet wamepunguza route au wameachia route?
Hizo route walizokuwa wanatamba nazo zote ni za ATCL,Twiga kafufuka hawana jinsi ni kuachia tu.
KQ wana safari 49 kwa wiki,asilimia 90 ni za ATCL,wataachia tu.
Kuna route ya Dar London,Dar -Beijing,Dar-Comoro,Dar-Lusaka,Dar Lubumbashi,Dar -J'burg zote hizi zilikua zinashikwa aidha na precision au Fast jet watazitema tu
 
Jaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslahi kwa wafanyakazi wa umma na kuajiri watu. Tunafungua shule mwezi Januari Mwakani kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimu ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini.
Mkuu nafanyakazi halmashauri hapa sijasikia hiko kituko cha kuwafutia ruhusa za walimu waliokwenda masomoni hebu fafanua
 
Suala la ndege.

Sidhani kama serikali ya tz inahitaji kununua ndege.. ingeacha hii sekta iendelezwe na private sector.

hii ni kutokana na mashirika ya ndege ni complex kuoperate, hatuna strategy ya markets both local and international. na pia it is not affordable by the majority.

instead hizi juhudi zingeekwa kwenye reli..., tungepara faida nying mnoo... kama kusafirisha bulk goods at a go... hii inasaidia kupunguza transport costs hence kushuka kwa bei ya bidhaa... pia itasaidia watu kupata affordable transport which means ni faida kwa wa kipato cha chini na pia mapato ni mengi koz ya customer base kubwa....
kwa ufupi.... railway sector ina manufaa kuliko ndege kwa nchi yetu.
 
jaribu kuficha ujinga wako basi kwani hamkuaga na ndege?hiyo ni kipya kinyemi tu watu wanakosa dawa unawaza ndege utaila nonesense.Tokea hizo zije zimewasaidia nini?
sasa ndg ulitaka serikali inunue mashine za atm za kutujaza pesa mifukoni? disposable income ni matokeo ya infrastructure bora zinzoendesha uchumi
 
Unawekaje Matumaini kwa serikali ambayo hukuipigia kura, na kushangaaa kila siku unatoa povu humu, ukuweza kubadili kwa kura utaweza kubadili kwa manung'uniko
Kuna wakati manung'uniko yanafanya kazi. Kumbuka ishu ya sukari.
 
Kwahiyo ulitaka pesa ya kununulia nduge upewe wewe na hao maskini wanaolia njaa?? Acheni kufikiri kitoto. Maendeleo lazima yatakuja tu na maskini lazima watakuwepo tu. Mfano mdogo tu, itazame nchi kama Marekani(USA) ni nchi yenye utajiri mkubwa sana lakini mpaka leo kuna watu ni omba omba na hawana hata mahali pa kulala, sembuse itakuwa Tanzania?
Acheni Rais na Serikali yake wafanyekazi. Ingekuwa ni CHADEMA wanafanya haya, mngewaunga mkono. Acheni unafiki wenu. Miaka miwili tu iliyopita ninyi mlikuwa mnaiponda Serikali kwa kushindwa kuliendesha shirika lake la ndege, leo hii Serikali inanunua ndege zake, bado mnaponda. Mbona hamueleweki ninyi watu? Mnataka Rais awafanyie nini kwa mfano?
Tumuache Rais afanyekazi yake bhana!
Rais Magufuli; fanya kazi baba, usiangalie kushoto wala kulia, wewe piga kazi mkuu.
hujui chochote umekariri Chadema tu, wewe unachojua ni CCM na chadema basi...serikali inadai inataka iwapaishe masikini kwa kuwapunguzia matajiri, hapo hapo inanunua ndege nyingi kwa kipindi kifupi, ambazo wana afford matajiri, mwenye income ya kupanda hizo ndege atakuwa nani? wangepeleka umeme na barabara kijijini sio kununua ndege zitakazokosa wateja, fool
 
Suala la ndege.

Sidhani kama serikali ya tz inahitaji kununua ndege.. ingeacha hii sekta iendelezwe na private sector.

hii ni kutokana na mashirika ya ndege ni complex kuoperate, hatuna strategy ya markets both local and international. na pia it is not affordable by the majority.

instead hizi juhudi zingeekwa kwenye reli..., tungepara faida nying mnoo... kama kusafirisha bulk goods at a go... hii inasaidia kupunguza transport costs hence kushuka kwa bei ya bidhaa... pia itasaidia watu kupata affordable transport which means ni faida kwa wa kipato cha chini na pia mapato ni mengi koz ya customer base kubwa....
kwa ufupi.... railway sector ina manufaa kuliko ndege kwa nchi yetu.
reli umeshaambiwa inakuja, taja kingine tuendelee kuelimika
 
Back
Top Bottom