Akade Joshua
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 262
- 200
Chadema mapovu yanawatoka nabado mtanyooka tu.
Hata ukizima hilo chogo lako haiathiri chochoteSiku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.
Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
We nae ni anti-developmentJamani majina yanaathili utashi wa mtu, huwezi kuwa na jina la kilevi alafu ukawa na maamuzi conscious!
ha haaa haaaa wewe huo uandishi umekamilika? ukitaka tuhamie huko hata ulichoandika kina mapungufu mengi sanauandishi wako una mapungufu makubwa ndio mana unapopolewa mawe. fanya utafiti kabla hujaropoka
Shirika la serikali huwa halifi bali huhujumiwa, sasa wahujumu tayari matumbo joto.Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
pointi hapa ni biashara ya ndege inahitaji watu wawe na fedha, nadhani tungeweka sawa mambo mengine haya ya ndege yafuate,
Unakana maneno yako mwenyewe, jaribu kuandika unachofahamu au kupitia sio story za watu. Aliyerudi ana sababu zake binafsi ila watu hawakurudishwa kama wanavyodai.Soma nilichoandika ukielewe kama hujakielewa jaribu kutumia google translator ikishindikana kabisa tumia delphie technique laah haijawezekana kuelewa do not hesitate contact me the author!!
Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.
Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Laiti bwana yule angepewa ufahamu juu ya matatizo ya msingi ya watu wake asingilinunua mapangaboi yake.Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.
Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Kulikoni hiyo ndege?
gaaa sisemi mieKulikoni hiyo ndege?
Wewe hujawahi kupanda ndege, tunaopanda ndege Fastjet ndio mkombozi wa Watanzania wenye kipato kidogo.Safi xaanaaa hadi fast jet wakatafute kwinginee. Tanzania mpya inakujaaa
NdioMADUDU?
hahaha sawa kiongoziNdio