Hawajui walitendalo hawa watu.unabana matumizi maana yake watu na wenyewe watabana matumizi hivyo watu wachache zaidi watapanda ndege kipindi hiki kuliko zamani, ndio maana fast jet wamepunguza route
Sasa unaongeza ndege huku watu hawana income ya kupanda hizo ndege biashara itafanyikaje?
Ni kama una biashara yako kisha wafanyakazi wakapunguziwa mishahara yao, na wakati huo huo ukawaletea bidhaa za bei ghali na luxury unategemea wananunue
[emoji16] [emoji25] [emoji24] [emoji24]Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.
Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Kwao biashara ikiwa mbaya inatuhusu nini..Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Hujui maana ya "tricle down effect"Wakati tunapambana kupata maendeleo ya vitu tukumbuke maendeleo ya watu.Maendeleo ya vitu ni Barabara,Reli,Ndege,Meli nk. Maendeleo ya watu ni Elimu bora kwa wote,Huduma bora za afya,Ajira,Makazi,Chakula nk.
By elimu ya hapa na pale, mhhHata kuandika hujui...id yako inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani...pumbafu
Hujui lolote kuhusu biashara ya ndege. Nani amekwambia fastjet ndiyo wasemaji wa biashara ya ndege tanzania?Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Hio mishahara itatoka wapi kama Serikali haitaanza na kutengeneza means za kupata hela?Jaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslai kwa wafanyakazi wa uma na kuajiri watu. Tunafingua shule january kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimi ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini
Hayo mambo jizungumzie mwenyewe na familia yako. Wengine sisi huku mtaani pesa tunayo ya kutosha tu. Na tunaendelea kuchangamkia fursa kutengeneza pesa zaidi.Yani sawa unanunua luxury car wakati watoto wako wanakonda kwa njaa!! Kuna haja gani ya ndege wakati watanzania pesa hakuna na maisha magumu mtaani???
Wewe zima tu...ila ndio hivyo Tanzania tunasonga mbele. Aluta continuaSiku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.
Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Hali zenyewe mifukoni mwa wananchi ni mbaya, ni uchumi gani tulionao utatuletea faida?.
Tungeongeza moja kwa ajili ya route za kimataifa. Tukasikilizia
Kwa soko la ndani hizi mbili tulizonazo tungezisikilizia kwanza
Labda mungu makonderMagufuli ni chaguo la Mungu asiyempenda akakae syria arudi 2025
Wakati huohuo msada kwa Kagera hola madawa na madawati hakuna. Kalieni uzuzu kusifia midege isiyo na faida na.wala hamtaipandaHapa Wachawi wa Maendeleo watakuja tu, na nimeona hapo Juu wameanza kulalamika, mtalalamika sana mwaka huu, na bado mwakani mtalia sana macho ya damu, lakini lazima Tununue Ndege, ninyi ndo awamu ya nne mlilalamika sana kuwa eti hata Rwanda wametuzidi, sasa mlidhani fedha za kununulia hizo ndege zingetoka wapi? lazima tufunge mkanda hadi malengo yetu yatimie, sasa hatutamsikiliza mtu tena hadi pale Ndege zetu zitakaponunuliwa, na bado Reli ya Standard gauge pesa zote zinaenda kwa kampuni husika, yaan mikanda tuliyojifunga tutaifungua mwaka 2019
Kwa hiyo mwenzako akisema leo yeye ni masikini nawewe utasema ni masikini.Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Hilo unalolifikiria lilishafikiriwa hata kabla hujazaliwaJaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslai kwa wafanyakazi wa uma na kuajiri watu. Tunafingua shule january kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimi ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini
Hahahahahaaaa sijui kama wanaelewaKuongeza ndege ili kuboresha usafiri hasa wa ndani ni jambo jema sana. Lakini ni muhimu pia kuongeza uwezo wa wananchi kuweza kusafiri na usafiri huo. Sasa hivi usafiri huo unaonekana kama ni luxury kwa walio wengi badala ya usafiri wa haraka.