swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Umevimbewa rambirambi za wahanga wa Bukoba wewe.Povu litawatoka mpaka 2025.mwanaUfipa
swissme
Umevimbewa rambirambi za wahanga wa Bukoba wewe.Povu litawatoka mpaka 2025.mwanaUfipa
Nadhan kuna uelewa tofauti ya dhana mzima ya ubanaji. Kuna vitu kweli amefanya ni vizur llkn mengine ni mabaya na hayataleta tija.unapobania watu shule, unatengeza Bomu. Kuna maaumuz mengi ameyafanya bila kuangalia effects zake na pia matamko mengi ya watendaji wake hayawez jenga zaid yatabomoa. Mfano wa makonda sio mtekelezaji ni mdomo tu.Kama utatulia kidogo na kufikiria anachojaribu kufanya JPM ni kupunguza gharama ya uendeshaji ili kufidia maendeleo. Wakati wa awamu ya nne mambo yalikuwa mabaya mno kiasi recurrent expenditure ilikuwa maradufu ya development expenditure. Jifunze utawala kidogo. Hakuna nchi iliyoendelea kwa kujali kulisha watu na kuwastarehesha tu, kulipa stahiki za wale nk. Kuna wakati lazima uwe katili na kutazama 'bigger picture'. Watakaokufa waache wafe ila watakaobaki na watakaozaliwa wataishi vizuri. Nchi zote zimejitolea mhanga, tena saa nyingine kwa thamani ya kutisha! Leo mwaisifu China lakini hujui katika miaka ya 60-70 zaidi ya Wachina milioni 200 walikufa katika Cultural Revolution (nenda kasome hiyo). Leo yamewafaa au la?
Maadamu kuna taswira nzuri ya mustakbali, acha JPM aminye tu.
Tatizo la Miafrika iko so selfish ...wataka wafaidi wao tu, tena hivi sasa! Hakuna kufikiria mustakbali wa nchi au kizazi kijacho. Mlistarehe sana nyie chini ya JK!
Kwa hili endelea JPM, minya hadi kijulikane!
Kuandika kwenyewe shidaSiku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.
Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Mkuu jitahidi kusoma Na wacha kukariri.
Mtoa mada baada ya kuandika ameweka
Adresi ya kusoma zaidi.
Hiyo Bombadier ina oda nyingi kutoka mataifa mengi.Mfano Alaska airlines ambayo wamenunu Virgin America ni la 7 Kwa ukubwa huko USA wanazo Bombadier Q400 52 Na Makampuni mengi makubwa duniani wanazo.
Bei zao nzuri
Hayatumii mafuta sana
Zina tua kila aina ya airport
Acha kutumia lugha za matusi. Nakushauri urudie kusoma sheria za Jamiiforums. Haturuhusu lugha za matusi na kashfa.Mpiga dili babaako, staki kusikia huu ungese, watu wanaumia mamamae halafu we unakuja na usengerema wa kusema wanaoumia ni wapiga dili,
Narudia tena: Mpiga dili baba ako boya ww.
Sawa. Vumilieni maumivu ya sindano lakini dawa inawaingia vizuri. Tulieni kimya kabisa. Mlizoea maisha ya ujanja ujanja. Kiyama chenu kimefika.Tumeziba mirija yote. Tumewakomesha kweli. Hakuna jinsi. Na mtanyooka tu.Acha ujinga wewe
Kweli kbs like 100 kwakoYaani hawa Fastjet waliowezesha % kubwa ya Watanzania kupanda ndege ndio unasema wakatafute pengine ? Ushajiuliza bila uwepo wao hali ingekuwaje ?
Aliyetuloga Watanzania sijui atafufuka lini
Sina tatizo na Magufuli kufufua shirika letu lakini nitakuwa mpumbavu nisipoheshimu revolution waliyoleta Fastjet kwenye airlines industry
Juzi Msajili wa Hazina, Lawrence Mafuru amesema kupotea kwa fedha katika mzunguko kunasababishwa na serikali kupeleka fedha nyingi kwenye maendeleo kama kununua ndege na kujenga reli na Barabara. Matokeo yake siyo ya leo wala kesho. Mtasubiri sana
Watalii.Ndege anapanda nani
Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Wakati tunapambana kupata maendeleo ya vitu tukumbuke maendeleo ya watu. Maendeleo ya vitu ni Barabara, Reli, Ndege, Meli nk. Maendeleo ya watu ni Elimu bora kwa wote, Huduma bora za afya, Ajira, Makazi, Chakula nk.
Usafirishaji wa twiga unatakakuanza upyaYaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!