Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Jamani nimeshasema mara nyingi hapa. Pesa huna wewe. Wengine tunazo, tena za kutosha tu. Mlizoea kupiga dili, ngoja mnyooshwe kwanza. Na mtanyooka tu. Maana hakuna jinsi nyingine. Mtanyooshwa tu. Na mnyooshwe tu.
Acha ujinga wewe
 
kama hujui zitawasili lini kwa nn utuaminishe kuwa zipo njian kuwasili?
 
WaTZ tatizo letu majungu ikihama fastjet co wewe faida yako nn?.Biashara inahitaji ushindani na sio kukomoana.
 
kusingekuwa na cybercrime na watanzania weng wangekuwa wanasoma kupitia mitandao,ningetoa 2c moja kali sana mpaka dunia ingetikisika lkn sasa acha niteme mate chn! naomba Mungu atushushie laana watanzania kwa upumbav 2lonao!
Haaaa haaaa tusi la kusikitisha dunia???
 
Kwahiyo ulitaka pesa ya kununulia nduge upewe wewe na hao maskini wanaolia njaa?? Acheni kufikiri kitoto. Maendeleo lazima yatakuja tu na maskini lazima watakuwepo tu. Mfano mdogo tu, itazame nchi kama Marekani(USA) ni nchi yenye utajiri mkubwa sana lakini mpaka leo kuna watu ni omba omba na hawana hata mahali pa kulala, sembuse itakuwa Tanzania?
Acheni Rais na Serikali yake wafanyekazi. Ingekuwa ni CHADEMA wanafanya haya, mngewaunga mkono. Acheni unafiki wenu. Miaka miwili tu iliyopita ninyi mlikuwa mnaiponda Serikali kwa kushindwa kuliendesha shirika lake la ndege, leo hii Serikali inanunua ndege zake, bado mnaponda. Mbona hamueleweki ninyi watu? Mnataka Rais awafanyie nini kwa mfano?
Tumuache Rais afanyekazi yake bhana!
Rais Magufuli; fanya kazi baba, usiangalie kushoto wala kulia, wewe piga kazi mkuu.
wewe unafikiria watanzania watakula hayo ma mitumba kutoka Rwanda na kufanyiwa servic huko.


swissme
 
Jidanganye kuna kufunga mikanda hapa. mkanda umejifunga wewe na watoto wako na familia yako wenzako wanaendelea na maisha kama kawaida wewe ishia kupiga porojo kwenye mitandao humu uone mwisho wake
Wewe porojo zako unazipigia wapi?
 
Hichi anachofanya Rais ni Sahihi kabisa ingawa tunapitia maumivu makali but it the only way to go. Tulichelewa sana.Ni wakati sasa wa Watanzania wenzangu kufanya mazoezi ya mwili ili kuepuka magonjwa yatokanayo na uzembe na pia kula vyakula vya kuchemsha na kuepuka vyakula vya kukaanga ili kuendana na bajeti na kupiga vita maradhi.Hii itasaidia kupunguza wagonjwa na dawa chache zilizoko zitatosheleza mahitaji
 
Wanachokifanya kwa sasa ni kwamba, wanawafukuza wawekezaji na matajiri ,baada ya kuwawekea mazingila ya kuwafukuza hao wenye nazo,wanawanyang'anya walalahoi wananunulia ndege,mlalahoi huyu anakosa huduma muhimu zinazo mgusa,na wale wenye nazo wameshaondoka sijui ni nani atakaepanda kwenye hizo ndege.
 
wewe unafikiria watanzania watakula hayo ma mitumba kutoka Rwanda na kufanyiwa servic huko.


swissme
Acha mawazo potofu wewe, fanya kazi na utakula chakula. Nani kakuambia pesa za kununulia ndege ni za kukununulia wewe chakula? Usipofanya kazi utakaa na njaa yako.
 
1480698523340.jpg
 
Back
Top Bottom