Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndiyo matatizo ya one man show Mkuu. Hakuna vikao vya majadiliano kupitia Baraza la Mawaziri ili kuamua vipaumbele vya nchi yetu kati ya sasa na 2020. Mtu anakurupuka tu na kuja na kipaumbele cha kununua ndege bila kuangalia kama kuna wateja wa kutosha nchini wa kutumia usafiri huo. Juzi tu hapa kulikuwa na uzi kuhusu wenye mabasi nchini kuanza kuuza mabasi yao kwa kuwa biashara hakuna kabisa nchini. Sasa kama usafiri wa mabasi nchni unadidimia kwa kukosa wateja huo usafiri wa ndege ambao ni ghali zaidi ukilinganisha na wa mabasi wateja watatoka wapi!? La Kuvunda siku zote........

Wakati tunapambana kupata maendeleo ya vitu tukumbuke maendeleo ya watu. Maendeleo ya vitu ni Barabara, Reli, Ndege, Meli nk. Maendeleo ya watu ni Elimu bora kwa wote, Huduma bora za afya, Ajira, Makazi, Chakula nk.
 
1480732920693.jpg
 
Safi sana! Tanzania mpya inakuja!

Hapa rais hata akiogoza miula 20 siyo mbaya tutarekebisha katiba
 
Wakati tunapambana kupata maendeleo ya vitu tukumbuke maendeleo ya watu. Maendeleo ya vitu ni Barabara, Reli, Ndege, Meli nk. Maendeleo ya watu ni Elimu bora kwa wote, Huduma bora za afya, Ajira, Makazi, Chakula nk.

Ipo tu siku tutaelewa,ni rahisi sana kukaa chini na kuandika maandishi,ni rahisi sana kulalamikia kila jambo.tuwape muda tuache kupiga mayowe
 
Jamani nimeshasema mara nyingi hapa. Pesa huna wewe. Wengine tunazo, tena za kutosha tu. Mlizoea kupiga dili, ngoja mnyooshwe kwanza. Na mtanyooka tu. Maana hakuna jinsi nyingine. Mtanyooshwa tu. Na mnyooshwe tu.
Mpiga dili babaako, staki kusikia huu ungese, watu wanaumia mamamae halafu we unakuja na usengerema wa kusema wanaoumia ni wapiga dili,

Narudia tena: Mpiga dili baba ako boya ww.
 
Ndiyo matatizo ya one man show Mkuu. Hakuna vikao vya majadiliano kupitia Baraza la Mawaziri ili kuamua vipaumbele vya nchi yetu kati ya sasa na 2020. Mtu anakurupuka tu na kuja na kipaumbele cha kununua ndege bila kuangalia kama kuna wateja wa kutosha nchini wa kutumia usafiri huo. Juzi tu hapa kulikuwa na uzi kuhusu wenye mabasi nchini kuanza kuuza mabasi yao kwa kuwa biashara hakuna kabisa nchini. Sasa kama usafiri wa mabasi nchni unadidimia kwa kukosa wateja huo usafiri wa ndege ambao ni ghali zaidi ukilinganisha na wa mabasi wateja watatoka wapi!? La Kuvunda siku zote........

BAK unajuaje hakuna vikao kati ya Raisi Na mawaziri? Hata kama mambo yote mazuri kiuchumi ungekuwa huna zuri juu ya awamu ya JPM.
 
Mpiga dili babaako, staki kusikia huu ungese, watu wanaumia mamamae halafu we unakuja na usengerema wa kusema wanaoumia ni wapiga dili,

Narudia tena: Mpiga dili baba ako boya ww.

ndoze
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na kampuni ya kutengeneza ndege ya Bombardier yenye makao makuu nchini Canada kununua ndege tatu mpya miezi michache tangu iliponunua ndege mbili mpya za Bombardier Q400.

Ndege za CS300 zinauwezo wa kubeba abiria 150 kila moja tofauti na Q400 ambayo inabeba abiria 70.

Mkataba huo mpya unahusisha ununuzi wa ndege moja aina Bombardier Q400 inayotarajiwa kuwasili nchini mwakani na ndege nyingine mbili ni Bombardier CS300 ambazo haijajulikana zitawasili lini.

========

Bombardier CSeries will sell both the Government of Tanzania, which represents its first order in seven months for its new commercial aircraft.

In total, the transaction includes two CS300 and a Q400 aircraft. According to list prices, the order is valued at 203 million US.

The aircraft will be operated by Air Tanzania, the national airline of the United Republic of Tanzania.

The last order of CSeries was in April, when the US carrier Delta Air Lines has confirmed the purchase of 75 CS100 aircraft, a firm order valued according to catalog prices, is estimated at US $ 5.6 billion .

Monday, Bombardier had delivered its first CS300 – the largest device family CSeries aircraft – the Latvian carrier airBaltic, its launch customer.

cwynnlrucaacozw.jpg

This aircraft, which can carry up to 160 passengers, must make its first commercial link between Riga and Amsterdam on 14 December.

Overall, airBaltic ordered 20 Bombardier CS300 devices.

So far, the aircraft manufacturer and rolling stock received 360 firm orders for its new aircraft, including 235 for the CS300.

Source: The Quebec Telegram
Hivi na ile sukari ilifikia wapi?
 
Ipo tu siku tutaelewa,ni rahisi sana kukaa chini na kuandika maandishi,ni rahisi sana kulalamikia kila jambo.tuwape muda tuache kupiga mayowe

Uchumi ni kanuni.Ni rahisi sana kukaa chini na kuandika tuwape muda.Uchumi unaviashiria vyake.Kusema tu tutoe muda sio suluhu ya maendeleo.
 
na nimeona web ya bombardier washa weka hiyo habari..na wameweka picha nzuri ya cs300..yenye nembo ya air tanzania.....viva magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
na boeing 787...iko njiani....kwahili magufuli utakumbukwa......nado standard gauge...
 
Hata wanavyo zipigia debe ndege za Bombadier mpaka unabaki unashangaa!!! Mbona awasemi chochote kuhusu ndege za ATR ambazo ni sawa na Bombadier na zimeuzika sana hazina matatizo ya hydraulic system kwenye landing gear zake - hapa Tanzania (ATCL) iliwahi kupoteza a brandnew Bombadier kutokana na tatizo hilo, lakini hilo awalisemi!! Sasa wanataka kuongezea type ya jet kutoka kampuni hiyo hiyo tena - nchi ngapi zinazo tumia jetplane za Bombadier mbona Rwanda jet zao wananunua Amerika na Ulaya sio Canada?

Mkuu jitahidi kusoma Na wacha kukariri.
Mtoa mada baada ya kuandika ameweka
Adresi ya kusoma zaidi.
Hiyo Bombadier ina oda nyingi kutoka mataifa mengi.Mfano Alaska airlines ambayo wamenunu Virgin America ni la 7 Kwa ukubwa huko USA wanazo Bombadier Q400 52 Na Makampuni mengi makubwa duniani wanazo.
Bei zao nzuri
Hayatumii mafuta sana
Zina tua kila aina ya airport
 
Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele yote Amen RA
 
Back
Top Bottom