Hizi za Mwanzo zinafanya kazi sana.Ndege zimejaa mpaka january next yearSioni umuhimu wa hizi ndege coz zile mbili za mwanzo wameshindwa kuzifanyia marketing ili zipate kufanya biashara vzuri wanaleta nyingine
Serikali inanunua ndege ili ifanye biashara ipate pesa za kujenga barabara,kuboresha maslahi ya walimu ,kuboresha huduma za afya na kuweka mazingira rafiki kimaendeleo,kutafuta pesa na kuwa na uwezo wa kupanda ndege ni jukumu lako baada ya serikali kukujengea mazingira.Kuongeza ndege ili kuboresha usafiri hasa wa ndani ni jambo jema sana. Lakini ni muhimu pia kuongeza uwezo wa wananchi kuweza kusafiri na usafiri huo. Sasa hivi usafiri huo unaonekana kama ni luxury kwa walio wengi badala ya usafiri wa haraka.
Usiongee usiyoyajua,matangazo yanasikika,abiria wanajaa(labda kama hufuatilii kujua),muache rais aongeze ndege tutanue shirika,wewe ndio unayetaka tubaki pale tulipo ili uweze kusema OOh hata Rwanda wanatuzidi,zama zimebadilikaSioni umuhimu wa hizi ndege coz zile mbili za mwanzo wameshindwa kuzifanyia marketing ili zipate kufanya biashara vzuri wanaleta nyingine
ZitanunuliwaChato hakuna dawa
Nimemwambia huyu mbumbumbu hajui kitu anajiropokea tuHizi za Mwanzo zinafanya kazi sana.Ndege zimejaa mpaka january next year
Unazisikilizia vp ndugu yangu na watu tunaenda kukata tiketi tumekosa hadi January,msiongee msioyajuaHali zenyewe mifukoni mwa wananchi ni mbaya, ni uchumi gani tulionao utatuletea faida?.
Tungeongeza moja kwa ajili ya route za kimataifa. Tukasikilizia
Kwa soko la ndani hizi mbili tulizonazo tungezisikilizia kwanza
Huo mfano wako sio sahihi,hii ndege ni ya biashara,serikali inawekeza pesa kufanya biashara ili ipate pesa zaidi za kukujengea barabara,kuboresha mishahara ya walimu,huduma za afya etcYani sawa unanunua luxury car wakati watoto wako wanakonda kwa njaa!! Kuna haja gani ya ndege wakati watanzania pesa hakuna na maisha magumu mtaani???
User name yako haiakisi fikra ulizo nazo. Unasema sio wajibu wa serikali kuona kuwa RAIA wanaweza Ku afford usafiri huo?Serikali inanunua ndege ili ifanye biashara ipate pesa za kujenga barabara,kuboresha maslahi ya walimu ,kuboresha huduma za afya na kuweka mazingira rafiki kimaendeleo,kutafuta pesa na kuwa na uwezo wa kupanda ndege ni jukumu lako baada ya serikali kukujengea mazingira.
Kuna mtu anapiga mzigo pale airport kanipa siri ya kujaa kwa zile ndege na ukijua hiyo siri hutatamani hata ndege ya bureUsiongee usiyoyajua,matangazo yanasikika,abiria wanajaa(labda kama hufuatilii kujua),muache rais aongeze ndege tutanue shirika,wewe ndio unayetaka tubaki pale tulipo ili uweze kusema OOh hata Rwanda wanatuzidi,zama zimebadilika
Daaah! Bombadia hewani live long jpm
Uraisi wa spares kwa sababu ya economy of scale.Uraisi katika gharama za kufundishia marubani na mafundi, kwa sababu rubani wa bombardia hawezi rusha Boeing mpaka kwa mafunzo marefu,wakati ni mafupi kwa ndege zilizotengenezwa na kiwanda kimoja kwa sababu ya mfanano wa instruments na Aircraft systems .Utahitaji mafundi na marubani wachache kwa vile wanaweza zungushwa kiurahisi katika ndege zilizotoka Kwenye source moja. Uzoefu huja haraka zaidi kwa ndege zilizotoka kiwanda kimoja kwa hiyo rubani au fundi waweza kuhitimu haraka zaidi na wakawa na uwezo sana kwa sababu ya task repeatition.Kuna logic gani ya kununua ndege kutoka source moja?
Piga kimya, hatuwezi kuendelea kuwa wachumia tumbo miaka yote tu, lazima tuwe na vitu tangible kama hivi ili ku-boost confidence, maana tulikuwa tunatia aibu, hata Rwanda anatushinda?Jaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslahi kwa wafanyakazi wa umma na kuajiri watu. Tunafungua shule mwezi Januari Mwakani kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimu ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini.
Na hii ndio ilikuwa ni sababu ya kwanini Fastjet walikuwa na Airbus na kwanini Precision air walikuwa na ATR nyingiUraisi wa spares kwa sababu ya economy of scale.Uraisi katika gharama za kufundishia marubani na mafundi, kwa sababu rubani wa bombardia hawezi rusha Boeing mpaka kwa mafunzo marefu,wakati ni mafupi kwa ndege zilizotengenezwa na kiwanda kimoja kwa sababu ya mfanano wa instruments na Aircraft systems .Utahitaji mafundi na marubani wachache kwa vile wanaweza zungushwa kiurahisi katika ndege zilizotoka Kwenye source moja. Uzoefu huja haraka zaidi kwa ndege zilizotoka kiwanda kimoja kwa hiyo rubani au fundi waweza kuhitimu haraka zaidi na wakawa na uwezo sana kwa sababu ya task repeatition.