Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Kuna ushahidi wwt kuwa alikua anatumia ruti za atcl?Sijasema fastjet kaiba,nimesema fastjet alikua anatumia njia za wenyewe,mwenyewe karudi inabidi aachie tu mkuu
Kuna ushahidi wwt kuwa alikua anatumia ruti za atcl?Sijasema fastjet kaiba,nimesema fastjet alikua anatumia njia za wenyewe,mwenyewe karudi inabidi aachie tu mkuu
Hapo mkuu unakosea ushindani ni muhimu lakini sikusema aachie.Soko huru makampuni yakichuana kunakuwa na unafuu kwa mlaji.Sijasema fastjet kaiba,nimesema fastjet alikua anatumia njia za wenyewe,mwenyewe karudi inabidi aachie tu mkuu
Sina muda wa kulumbana na mtu mwenye kaswende ya Ubongo.Ujue wewe hashindwe kujua Rais, mwenye vyombo vyote vya usalama, na wataalam, labda nchi mzima unajua peke yako
Hivi unaelewa hata kidogo anachoandika au umeamuwa kuonesha jamii jinsi kichwani ulivyojaa makamasi badala ya ubongo?Mkuu fastjet wamepunguza route au wameachia route?
Hizo route walizokuwa wanatamba nazo zote ni za ATCL,Twiga kafufuka hawana jinsi ni kuachia tu.
KQ wana safari 49 kwa wiki,asilimia 90 ni za ATCL,wataachia tu.
Kuna route ya Dar London,Dar -Beijing,Dar-Comoro,Dar-Lusaka,Dar Lubumbashi,Dar -J'burg zote hizi zilikua zinashikwa aidha na precision au Fast jet watazitema tu
Hiyo ni biashara mzee, sasa kama wao wanatangaza hali mbaya .Sisi tunajua biashara itaendeshwaje .Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Pitia utafiti wa Twaweza wa 1/4 utapata jibu.Hivi we uko sawasawa kweli?
Kwanza miundo mbinu ya ndani kama barabara za kuunganisha mikoa sio vibarabara ulimi wa nyoka kila siku ma bus na maroli u so kwa uso ajali.Jaman haya madude aachane nayo kwanza aboreshe maslahi kwa wafanyakazi wa umma na kuajiri watu. Tunafungua shule mwezi Januari Mwakani kukiwa na ongezeko kubwa la watoto na upungufu mkubwa wa walimu ingawa walioko vyuoni wamefutiwa ruhusa za masomoni na kutakiwa kurudi kazini.
National carrier antakiwa awe namba moja halafu waje watu wa kumchallengeHapo mkuu unakosea ushindani ni muhimu lakini sikusema aachie.Soko huru makampuni yakichuana kunakuwa na unafuu kwa mlaji.
Nisahihishe kwa unachoelewa wewe basiii..ukikaa nacho halafu ukija kutukana nawe utaonekana umejawa na mavi badala ya bongo,Tupe uzoefu wakoHivi unaelewa hata kidogo anachoandika au umeamuwa kuonesha jamii jinsi kichwani ulivyojaa makamasi badala ya ubongo?
mimi naidai serikali kiasi Kama 100m kutokana na malipo yakazi niliyofanya naambiwa nisubiri hawana pesa, lakini ndrge wananunua Kama njugu Tena kinyume cha sheria ya manunuzi ya umma!Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na kampuni ya kutengeneza ndege ya Bombardier yenye makao makuu nchini Canada kununua ndege tatu mpya miezi michache tangu iliponunua ndege mbili mpya za Bombardier Q400.
Ndege za CS300 zinauwezo wa kubeba abiria 150 kila moja tofauti na Q400 ambayo inabeba abiria 70.
Mkataba huo mpya unahusisha ununuzi wa ndege moja aina Bombardier Q400 inayotarajiwa kuwasili nchini mwakani na ndege nyingine mbili ni Bombardier CS300 ambazo haijajulikana zitawasili lini.
========
Bombardier CSeries will sell both the Government of Tanzania, which represents its first order in seven months for its new commercial aircraft.
In total, the transaction includes two CS300 and a Q400 aircraft. According to list prices, the order is valued at 203 million US.
The aircraft will be operated by Air Tanzania, the national airline of the United Republic of Tanzania.
The last order of CSeries was in April, when the US carrier Delta Air Lines has confirmed the purchase of 75 CS100 aircraft, a firm order valued according to catalog prices, is estimated at US $ 5.6 billion .
Monday, Bombardier had delivered its first CS300 – the largest device family CSeries aircraft – the Latvian carrier airBaltic, its launch customer.
![]()
This aircraft, which can carry up to 160 passengers, must make its first commercial link between Riga and Amsterdam on 14 December.
Overall, airBaltic ordered 20 Bombardier CS300 devices.
So far, the aircraft manufacturer and rolling stock received 360 firm orders for its new aircraft, including 235 for the CS300.
Source: The Quebec Telegram
10% kaka tz viongoz wote waiz hakuna mzalendo
Haikusaidii kitu.Ndege Mimi mwananchi wa kawaida nnayepata mlo mmoja kwa SIKU inanisaidia nini...
Wtf is problem with you idiot,can you just go back in your village and leave TAnzanian free,we dont need you hereYaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
lengo tupate 10%ya uchaguzi 2020 kama watangulizi wetu walivyofanya, mbona walipiga escrow,epa richmond. nasi tunapiga kama kawa, tulieni nasi tule si tumesema hatufukui makaburi???Binafsi bado sijaelewa lengo la kununua ndege kwa mfululizo namna hii! Serikali imelenga kuboresha kitu gani hapa nchini? Kama Ni sector ya utalii, kodi zimepanda wataalii wengi wametukimbia. Kama Ni lengo la kuboresha sector ya usafiri, kipato kimepungua kwa wananchi kutokana na serikali kubana matumizi hivyo uwezo ku afford kupanda ndege ni mdogo. Hela wanayopata wananchi inakidhi mahitaji ya msingi tu ie chakula, malazi, mavazi na matibabu, hela ya luxury haipo! Kama ni lengo la kutengeneza ajira, wataalamu ni wachache wenye taaluma ya Aircraft Management kwa hapa Tanzania. Viwanja vya ndege vimeboreshwa kwenye majiji tu, miji mingine viwanja vyake havikidhi viwango.
Naomba mwenye kujua lengo la kununua ndege hizo mfululizo atufumbue macho na sisi tuweze kujua.