Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.

Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Ungezima hata kuanzia leo maana ziko karibu kuja sijui mnalipwa kupinga na kukosoa kila kitu mlizoea pesa za dili
 
1480687344343.jpg
 
Tutaishia kushangilia ndege kama watoto wa kiswahili wanavyoshangilia magari ya watu barabarani...'hili langu, hilo langu', kupanda hizo ndege ndio msubiri majaribio kama mlivyopanda mabasi ya mwendokasi na MV Daslam
 
kusingekuwa na cybercrime na watanzania weng wangekuwa wanasoma kupitia mitandao,ningetoa 2c moja kali sana mpaka dunia ingetikisika lkn sasa acha niteme mate chn! naomba Mungu atushushie laana watanzania kwa upumbav 2lonao!
 
JAMANI NAOMBA KUJUA KAMA TARATIBU GANI ZA MANUNUZI ZIMETUMIKA KUNUNUA HIZI NDEGE .....GAZETI GANI LA KIMATAIFA AU LA TANZANIA LIMETANGA HIZI TENDA .......AU KAMATI YA TENDA NI YA KINA NANI ......WAANDISHI WA HABARI NCHI HII MATATIZO SANA .....HATA KUHOJI JAMBO KAMA HILI WANASHINDWA .....PPRA WAKO WAPI????
Ipo hivi, ukinunua cash unapata commission ???? %. Sasa bwana yule kanogewa na manunuzi.

Swali: mnunuzi kapata commission ngapi kwenye manunuzi ya Q400?
 
Siku zikitoa Bongo nazima tv yangu siku nzima maana kufanya mambo bila priority ni zaidi ya kero na maudhi matupu.

Ni kero na maudhi kumsikia mtu anajisifu kununua ndege kwa cash wakati wanafunzi wanakosa mikopo,madaktari na waalimu hawajiiriwa,madawa hospitalini shida,watumishi stahiki zao hawalipwi,watu wamesitishiwa ajira zao,wahanga wa tetemeko wanateseka,n.k.
Yani mgosi ameshindwa kabisa kutumia participatory approach, yeye anaamua tu pasipokujua wananchi wake wanataka nini na vitu gani vipewe kipaumbele
 
Bombardier Inc. will sell two CSeries aircraft to the government of Tanzania, its first order in seven months for the commercial planes.

The total order is for two CS300 planes and one Q400. By catalogue prices, the order is estimated to be worth about $203 million U.S. The planes will be operated by national carrier Air Tanzania.

The last CSeries order was in April, when U.S. carrier Delta Air Lines confirmed the purchaseof 75 CS100s, a firm order valued at $5.6 billion U.S., based on catalogue prices.



Bombardier (TSX:BBD.B) delivered its first CS300 — the largest plane in the CSeries family — to Latvia’s airBaltic. That plane, which can carry up to 160 passengers, will make its first commercial connection Dec. 14, between Riga and Amsterdam. AirBaltic ordered a total of 20 CS300s.

So far, the Montreal-based airplane manufacturer has recieved 360 firm orders for its new aircraft, including 235 for the CS300.
 
Yaani fastjet wanatangaza biashara mbaya kila siku sisi tunaongeza ndege mpya!
Kwani wao ndiyo wanasimamia biashara yetu?
Wao wakishindwa biashara ni kigezo cha sisi kushindwa pia?
 
Wakati tunapambana kupata maendeleo ya vitu tukumbuke maendeleo ya watu. Maendeleo ya vitu ni Barabara, Reli, Ndege, Meli nk. Maendeleo ya watu ni Elimu bora kwa wote, Huduma bora za afya, Ajira, Makazi, Chakula nk.
Maendeleo ya vitu ni mama mzazi wa Maendeleo ya watu. Unaweza kupata Maendeleo pasi kuwa na kitu?
 
Hizi zilizopo zimeweza kushika soko la hapa nchini? Kuna muelekeo wa kuweza kuziondoa fastjet Na precision air??
 
Ipo hivi, ukinunua cash unapata commission ???? %. Sasa bwana yule kanogewa na manunuzi.

Swali: mnunuzi kapata commission ngapi kwenye manunuzi ya Q400?
Mkapa alipoingia tu madarakani alilipa madeni ya nje kwa speed huku wananchi tukiambiwa tufunge mikanda kumbe baadaye ikabainika wazungu walimuahidi pasu kwenye yale marejesho.
 
Kweli Trump anastairi kuja kutuongoza sie waafrica
 
Piga kazi Magufuli.
Wavuta bangi kazi yao ni kung'ang'ania kupelekwa gerezani tu eti wajifananishe na Mandela.
 
Back
Top Bottom