Nchi haina NDEGE ila Rais ana NDEGE

Nchi haina NDEGE ila Rais ana NDEGE

ATC, wana ndege mbili tu zote mbovu moja inatengenezwa South Africa ingine ipo dar halafu cha kuchekesha ATC inawafanyakazi 90, sijui wanafanya kazi gani
Na posho za kuwepo kazini wanachukua kwa raha zao! Am kweli nchi inaliwa na wenye meno.
 
Nilikua naangalia habari, ya jinsi serikali ya Shelisheli inavyowajengea magorofa wananchi ya hali ya chini ili wawe analipia vijihela vyao, yaani huwezi amini yale magorofa, utadhani mawaziri watakuja kuishi humo.

Nikifananisha na vile vijumba vya Dodoma vilivyojengwa katika eneo la kisasa, au Kiseke - PPF mwanza, unaweza zimia na kuukana uraia wako.
 
ATC kubolonga ovyo katika safari za kimataifa sio kosa la kumlaumu kikwete kabisaa. Safari za ndani ya nchi hazilipi kwa ATC maana wapanda ndege ni wachache sana na masikini ni wengi.Mikoa ambayo ATC hutegemea kupata wateja wake ni Arusha, mwanza, na Dar Es Salaam tuu badala ya nchi nzima. Halafu hawa abilia wenyewe walikuwa hawatumii fedha zao za mfukoni bali safari imprest. Sasa kufa kwa mashilika mengi ya umma na kubinafusishwa makampuni mengi kumeleta homa ndani ya mapato ya ATC. Hii yote ni kwasababu ya kujaza wazururaji wengi na ukosefu wa kazi kwa walio wengi. Ukija safari za kimataifa, Tanzania haina jina zuri katika nchi za ulaya magharibi. ATC ilikuwa haipati kabisaa abiria wa kutosha kuja tanzania ilipokuwa inafanya safari za London. Kumbuka mwaka 1974 Tanzania ilipiga marufuku mashindano ya magari ya East african rally yaliokuwa maarufu sana duniani kutangaza gari bora la dunia. Eti kwa kisingizio kuwa ni mabo ya kibepari!!!Nchi za Ulaya zilisikitika sana. Sasa nao wanatukomoa katika safari za anga.
psychotic comments ya week.....
 
Jamani hivi kuna mtu ashawahi kufikiria kitu kama hiki? naomba mchangie bila kumtukana rais wala watawala wake , kama huna fact unataka kutukana naomba ukae kimya tu kwa sababu kila mtu an ahasira zake, na hawa viongozi.
hii ndege ndio inayomfanya kila siku kiguu na njia kwenda kwenye matamasha , ndio! hizi ni kodi zetu hizi kwa nini tunyamaze?
nchi yenya watu mili 40 , haina vita ina madini na migodi mbali mbli ,ina maziwa na bahari ina vivutio vya utalii
lakini haimiliki ndege, suitaki kusema kuwa kuwa na ndege ndio uchumi wako una kuwa strong but this is the source of employment also , tunashindwa kufikiria .
hakua faida ya hii ndege zaidi ya kuktutia hasara tu kwa safari zake za mara kwa mara.unafikiri ndege isingekuwepo si angekuwa nchini anafuatilia bunge? iaal hajui hata kitu gani inachoendelea na
VIJANA WA SIKU HIZI WANASEMA MWACHE ALE BATA

SASA WEWE MBONA UNAJIKONTRADIKTI MWENYEWE...??? UNASEMA SERIKALI HAIMILIKI NDEGE, TENA WAKATI HUOHUO UNADAI hii ndege ndiyo inayomfanya.....,!! mara hii ndege haina faida...!!

SASA KWA TAARIFA YAKO SERIKALI INAMILIKI NDEGE TENA ZAIDI YA MOJA, JITAHIDI KUTOFAUTISHA SHIRIKA LA NDEGE LA BRAAHBRAAHH!! NA SERIKALI....!!! KAMA HUWEZI KUJIELEZA BASI NYAMAZA KIMYA................!!!
 
hata train inatushinda ndo tununue ndege??? bora awe nayo rais tu ili asiwe anakaa hapa atachafua hali ya hewa.
 
zinakwenda route gani?nchi gani au mikoa gani?
 
Kwa kuwa mawasiliano yao yapo (TGFA)....... naamini na yenyewe inakodishwa...... u have cash hire it....!

Hii si ndio ya mkuu wa nchi? Kwa hiyo nikiwa fisadi tu na mihela yangu naruka nayo kwenda nyuuyoku kuingia mikataba na kupata Power of Attorney ya wawekezaji?
 
Mlima Kilimanjaro na Serengeti zitaendelea kusadikika kwamba viko Kenya endapo tutabaki kutokuwa na national flag carrier
 
ye ndo atakula majani segerea sasa! na ufisadi wake wa kijinga!!!!!!!!!!!!
 
Ukiangalia kiundani mtoa mada amekusudia kumlaumu JK,coz ametaja safari za Rais nje.INFACT,hata hiyo ndege isingekuwepo nje angeenda tu,and hakuna rais asienda nje,,,JK ameikuta ndege na ataiacha, so ni vema alaumiwe alonunua ndege sio kumtupia lawama asiehusika;
 
Rais wa nchi wa cnhi yoyote kuwa na jet yake is ok. Lakini ninachomlaumu yeye JK ni kutowajibika ktk kulifufua ATC
 
Mkuu i know what i am speaking

i work on a us government funded intiative and believe me, tukinunua tiketi ambayo haina connection na national carrier, it is a unallowable cost
Hiyo ni kwa sababu serikali ya Marekani inalipia hiyo tiketi, na inataka ku promote makampuni ya ndege ya kimarekani, lakini Marekani haina ndege ya serikali! Usitake kupotosha kwamba mtu wa kawaida "tunalazimishwa kununua Delta na Northwestern." Hakuna kitu kama hicho. Na usiniambie nikuamini eti kwa sababu unafanya kazi za kukata na ku cancel tiketi za wasafiri wa mradi wa hela za Marekani, hii ni information age ndugu, humiliki facts hapa.

unapohangaika kujibu hoja, usitunge jiandae

JUST FOLLOW THIS LINK
U.S. Department of State | Welcome to Federal Assistance - Grants
Hicho ki link cha federal assistance grant kinatusaidia nini hapa zaidi ya kuonyesha nilichosema kwamba serikali ya US inalipia gharama za state department-associated travelers?

last week i was forced to cancel a ticket dar IAD simply because there was booking related to national carrier

"Booking related to national carrier" ndio nini? "National carrier" maana yake nini, mbona unakwepa kutoa maana ya huo upupu?
 
wewe unasahau kuwa kuna Mungu mtu alisema watanzania tule majani , lakini ndege ya mume mwenzake inunuliwe.

Nachofahamu waumewenza hua hawapendani, but hii ya huyu jamaa ilinitisha kidogo, kwisha habari yake na kesi zake za ufisadi
 
Back
Top Bottom