...Tatizo hapa ni la kisemantic. Kinachoitwa 'ndege ya rais' si chengine bali ni ndege ya serikali maalum kwa ajili ya safari za viongozi wa juu. Nchi karibu nyingi zinazojijali zina ndege maalum kwa ajili ya viongozi wake ambazo ni alama za taifa hilo! ndoo maana Ben aliyenunua ndege ya sasa hakuondokanayo baada ya kumaliza muda wake! na JK hataondokanayo atakapohitimisha awamu yake... suala la msingi ni jinsi inavyotumika!Elewa hapa hoja ni 'nchi haina ndege za kibiashara bali ndege ya rais' alafu kwa swali lako Botswana haina ndege ya rais ila wana ndege za taifa lao japo pato lao ni kubwa kuliko letu.
air tz iko wapi?
I do not mean to be rude but Mwandishi alipaswa kutumia jina zima la huyo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji throughout the article kwa sababu anapoandika 'Chizi' peke yake ananikwaza.
Tukumbuke tunaongelea ATCL kubaki shirika la ndege bila kuwa na vitendea kazi vya kufanikisha utolewaji wa huduma ya usafiri wa anga ambayo ndiyo core b'ness.
Halafu unasoma maelezo ya utetezi yanatolewa na 'Chizi'.I've failed to tame my sense of humor.
Nautakia kila la kheri uongozi wa ATCL katika kuendelea kuitia serikali gharama ya kukodi ndege kutoka kwa mashirika binafsi kwa kodi za watanzania ili kujionyesha kwamba wako hai ilhali ni maiti.
Pia ukarabati mwema wa hiyo scrap moja iliyobakia.
Miaka 50 ya uhuru.Wamethubutu kufilisi ATCL kwa ufisadi na hujuma,wanaweza kuendelea kuwabebesha mzigo walipa kodi na wanasonga mbele bila ya kuwa na ndege.
CCM Oyeee!!
Nchini za Ulaya hazina ndege za raisi isipokuwa Marekeni ina AIRFORCE1 na ziko mbiliLabda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
hakuna kitu kinaitwa "America Airline"!!!Obama kama maraisi wengine wana ndege inaitwa Airforce one ndo hiyo nayoitumia kwenye avata yangu.Na marekani kama marekani wana shirika la ndege strong linaitwa America Airline