Nchi haina NDEGE ila Rais ana NDEGE

tuseme kweli daima na fitina(UCHONGANISHI) kwetu uwe mwiko....!
Tulikuwa tunaweka sawa na si KUJIVUNIA,wala KUPOTOSHA
NGUVU MOJA katika maendeleo yetu....kweli wanakula ila hata wasipokula tuseme wamekula? na walipokula tuseme hawajala? NOOOO!
NDIYO YAKO NA IWE NDIYO ..NA SIYO YAKO NA IWE SIYO....!
wewe msimamo wako ni upi?
 
Ni vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.

Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?

hatutaki kitu kama hii..tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine.. kwanza hapa tunaitangaza nchi na ajira kibao tu huwezi kuniambia kuwa ndege zilipotea au kufa au shirika limekufa kwa sababu eti hakuna abiria, abiria wapo kibao sema vichwa marais wetu ndio mabuyu tunakufa kwa kiu baharini , huu si ni uzembe? mimi nina hasira sana juzi juzi kenya airways walinifanyia dharau kubwa sana ndio maana nimekasirika na hapa kial kikicha watu wanakuaj na malalamishi ya hii kenya airways.. kwa nini mmeua Tanzania airways?

Mkuu Ivuga sijakuelewa unaposema "tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine." Una maana kuwa hizo ndege zimilikiwe na serikali or hata na kampuni binafsi so long ni flag carrier ya Tanzania?

Kujibu swali la Kimbunga sio kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali. Kwa mfano Kenya Airways au British Airways hazimilikiwi na serikali. They are flag carrier ambazo zinamilikiwa privately. Kuhusu Marekani wanayo American Airlines ambayo inamilikiwa na AMR Corporation. Kenya wana Kenya Airways ambayo ilikuwa inamilikiwa na serikali hadi mwaka 1995 ilipobinafsishwa. Kwa sasa inamilikiwa na KLM (26%), Kenyan Government (23%). Percent iliyobakia inamilikiwa na private persons. Unaweza kuwa mmoja ya wamiliki pia b'se shares zinauzwa Nairobi stcok exchange na Dar Stock Exchange.
 
Uingereza hawana ndege ya rais/waziri mkuu. Viongozi wanatumia ndege ya BIASHARA BA ambayo ni lishirika la umma

Mkuu nikusahihishe, BA sio shirika la umma. BA ilibinafsishwa tokea Februari 1987. Kwa sasa BA ni flag carrier ya UK.
 
MSIMAMO WANGU...!
Wakala wa Ndege za Serikali (TGF) kwa mujibu wa tovuti (year 2008) inamiliki ndege nne, ambazo hukodishwa na pia hutumika katika matumizi ya kiserikali(REFER SSC ILIVYOENDA KUCHEZA NA TP MAZEMBE)
KWA HIYO SI KWELI KWAMBA NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MILIONI 40 HAIMILIKI NDEGE........ NA SI KWELI KWAMBA NDEGE iliyopo ni MOJA na inatutia hasara
fact za kuzungumza zipo nyingi tu na si uzushi ambao hata "ka-utafiti" ka ku-copy na ku-paste wikipedia kanaweka mambo bayana
 
Mkuu Ivuga sijakuelewa unaposema "tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine." Una maana kuwa hizo ndege zimilikiwe na serikali or hata na kampuni binafsi so long ni flag carrier ya Tanzania?

Kujibu swali la Kimbunga sio kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali. Kwa mfano Kenya Airways au British Airways hazimilikiwi na serikali. They are flag carrier ambazo zinamilikiwa privately. Kuhusu Marekani wanayo American Airlines ambayo inamilikiwa na AMR Corporation. Kenya wana Kenya Airways ambayo ilikuwa inamilikiwa na serikali hadi mwaka 1995 ilipobinafsishwa. Kwa sasa inamilikiwa na KLM (26%), Kenyan Government (23%). Percent iliyobakia inamilikiwa na private persons. Unaweza kuwa mmoja ya wamiliki pia b'se shares zinauzwa Nairobi stcok exchange na Dar Stock Exchange.
mkuu naona umeshajijibu ,kinachotakiwa ni serikali iwe na share or whatever ila kampuni iwe strong na kutoa huduma safi na ajira a liweze kujipanua
 
ziko wapi? flag carier?au mm nipo sayari nyingine.
siamini wikipedia,kwa nn naamini hiyo kitu?
usitoke nje ya mada...
 
mkuu naona umeshajijibu ,kinachotakiwa ni serikali iwe na share or whatever ila kampuni iwe strong na kutoa huduma safi na ajira a liweze kujipanua

Mkuu hili linawezekana kabisa lakini tatizo ni ukiritimba wetu. Kama Kenya, Ethiopia na hata Rwanda wanaweza kuwa na flag carrier whether or not public owned, sioni ni kwa kwa nini Tanzania tushindwe. Air Tanzania ilianzishwa kipindi kimoja na Kenya Airways. See where the Kenyans are now. Wakati Air Tanzania inabinafsishwa mwaka 2002 kampuni hizi zilituma expressions of interest: Aero Asia International (Pakistan), Air Consult International (Ireland), Comair (South Africa) Gulf Air Falcon (United Arab Emirates), Kenya Airways, Nationwide Airlines (South Africa), Precision Air (Tanzania), South African Airways. South African Airways, Kenya Airways and Cormar na Nationwide walifanya due diligence Air Tanzania, lakini mwisho kabisa ni South African Air Ways pekee ilituma tenda. Inaonyesha baada ya due diligence makampuni yalishtuka account za Air Tanzania hazikuwa na kitu. Na huu mpango wa kununua ndege mpya ni rushwa tuu kama wikilieaks ilivyoripoti: Home

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...eading-on-wikileaks-airbus-revelations-6.html

sijui kama zanzibar, somalia, south sudan, zina ndege ya rais.... lakini nadhani the question here had a special meaning kuliko unavyojaribu kuleta ushabiki kivuzi

Zanzibar sio nchi.
 
Yeah, Marekani ina shirika la ndege American Airlines

Okay, kama Marekani ina shirika la ndege, American Airlines, basi Tanzania nayo ina shirika la ndege, Precision Air!

Ni vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.

Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?
National flag carrier maana yake nini?

Huyo MTM na concept yake ya nationa flag carrier hajui anachokiongea, atakupoteza, anadai wao wanalazimishwa kununua tiketi za Delta Airlines na Northwest! Wao kina nani? Wanalazimishwa na nani? Wanalazimishwa kivipi, kwa mpango gani? Wanalazimishwa ina maana Air France, Virgin Atlantic, Emirates, Lufthansa wanakatazwa kuuza tiketi Marekani? Huyu atakuwa ni ile dizaini ya wahamiaji ambao wanatokomea kwenye immigrant community wanazungukwa na ignorant immigrant wenzao mpaka wanapitwa na uelewa wa national affairs za nchi enyeji.

Mmarekani anajivunia kwamba Boeing, Continental Airlines, Delta, Northwest, etc. ni makampuni ya aviation ya kimarekani lakini sio makampuni ya marekani kwa kumilikiwa na serikali.
Kabaila hajivunii serikali kumiliki njia za uchumi, nchi ya kabaila nia yake ni serikali kujitoa kwenye kufanya biashara. Kama unataka kuiona ATC hewani, na unasema unataka imilikiwe kibinafsi sasa hizi smoke and mirrors za "national flag carrier" za nini?

Tunaambiwa Tanzania haina ndege, Rais wake ana ndege. Rais wa Marekani ana ndege, Air Force One, Marekani ina ndege?

Ethiopian Airlines ni 100% mali ya serikali ya Ethiopia
 
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano

Ethiopian Airlines (Amharic: የኢትዮጵያ አየር መንገድ; የኢትዮጵያ[SUP]?[/SUP] in short), formerly Ethiopian Air Lines, often referred to as simply Ethiopian, is an airline headquartered on the grounds of Bole International Airport in Addis Ababa, Ethiopia.[SUP][3][/SUP] It serves as the country's flag carrier.[SUP][3][/SUP] The company is wholly owned by the Government of Ethiopia.[SUP][3][/SUP][SUP][5][/SUP] Its hub is Bole International Airport, from which the airline serves 61 international destinations and 17 domestic.[SUP][3][/SUP] The company flies to more destinations in Africa than any other airline.[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP] Likewise, it is one of the few Sub-Saharan profitable airlines,[SUP][5][/SUP] as well as one the fastest growing airlines in the industry.[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP] The airline's cargo division has been awarded The African Cargo Airline of the Year in early 2011.[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP][SUP][9]

The airline was featured by The Economist as an example of excellence in late 1987,[SUP][21][/SUP] and economist Paul B. Henze recognized it in 2000 as being "one of the most reliable and profitable airlines in the Third World",[SUP][22][/SUP] In 2007, Ethiopian Airlines provided basic pilot and aviation maintenance training to trainees from African countries including Chad, Djibouti, Madagascar, Rwanda, Sudan and Tanzania. Other training was given to employees of Kenya Airways, Air Zimbabwe, Bellview Airlines, Cape Verde Airlines and Air Madagascar.[SUP][23][/SUP]
Ethiopian Airlines started "Vision 2010" in 2005 which aimed to increase passenger traffic to 3 million, revenue to US$1 billion and employees to 6,000 by the year 2010. In its fiscal year 2007/2008, the airline transported 2.5 million passengers and generated 9.2 billion birr revenue (US$900 million) with a net profit of 507 million birr (US$56 million).[SUP][
Airbus A350-900-12-30318348Expected EIS: 2017[SUP][42][/SUP]
Boeing 737-7005--16102118
Boeing 737-800510-16138154
Boeing 757-2003--16144160
1154170
2155171
2159175
Boeing 767-300ER1--24208232
1210234
2211235
2213237
3221245
130190220
1195225
Boeing 777-200LR41-34287321
Boeing 787-8-10224246270Expected EIS: January 2012
Bombardier Dash 8 Q4008-407878
76471
Boeing 747-200F2--N/A
Boeing 757-200PCF2--
Boeing 777F-2-Expected EIS: September/October 2012[SUP][2][/SUP]
McDonnell Douglas MD-11F2--
Total47356
Ethiopian Airlines Fleet [SUP] [41] [/SUP] Passenger Fleet Aircraft In Service Orders Options Passengers Notes P Y Total Cargo Fleet
[/SUP][/SUP]
 
MSIMAMO WANGU...!
Wakala wa Ndege za Serikali (TGF) kwa mujibu wa tovuti (year 2008) inamiliki ndege nne, ambazo hukodishwa na pia hutumika katika matumizi ya kiserikali(REFER SSC ILIVYOENDA KUCHEZA NA TP MAZEMBE)
KWA HIYO SI KWELI KWAMBA NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MILIONI 40 HAIMILIKI NDEGE........ NA SI KWELI KWAMBA NDEGE iliyopo ni MOJA na inatutia hasara
fact za kuzungumza zipo nyingi tu na si uzushi ambao hata "ka-utafiti" ka ku-copy na ku-paste wikipedia kanaweka mambo bayana

Thank you sir, good one... Je ndege za wakala ni national flag carrier?? if yes, then hata waziri wako alikua hajui
 
Okay, kama Marekani ina shirika la ndege, American Airlines, basi Tanzania nayo ina shirika la ndege, Precision Air!

National flag carrier maana yake nini?

Huyo MTM na concept yake ya nationa flag carrier hajui anachokiongea, atakupoteza, anadai wao wanalazimishwa kununua tiketi za Delta Airlines na Northwest! Wao kina nani? Wanalazimishwa na nani? Wanalazimishwa kivipi, kwa mpango gani? Wanalazimishwa ina maana Air France, Virgin Atlantic, Emirates, Lufthansa wanakatazwa kuuza tiketi Marekani? Huyu atakuwa ni ile dizaini ya wahamiaji ambao wanatokomea kwenye immigrant community wanazungukwa na ignorant immigrant wenzao mpaka wanapitwa na uelewa wa national affairs za nchi enyeji.

Mmarekani anajivunia kwamba Boeing, Continental Airlines, Delta, Northwest, etc. ni makampuni ya aviation ya kimarekani lakini sio makampuni ya marekani kwa kumilikiwa na serikali.
Kabaila hajivunii serikali kumiliki njia za uchumi, nchi ya kabaila nia yake ni serikali kujitoa kwenye kufanya biashara. Kama unataka kuiona ATC hewani, na unasema unataka imilikiwe kibinafsi sasa hizi smoke and mirrors za "national flag carrier" za nini?

Tunaambiwa Tanzania haina ndege, Rais wake ana ndege. Rais wa Marekani ana ndege, Air Force One, Marekani ina ndege?

Mkuu i know what i am speaking

i work on a us government funded intiative and believe me, tukinunua tiketi ambayo haina connection na national carrier, it is a unallowable cost

siwezi kukurupuka kwasbabau we tried to follow this one hata kwa ndege zetu hadi foreign ili tukiwa/na wao wakiwa tanzania wafuate hayo tukashindwa kwani hakuna hiyo kitu

usidhani kila unayemsoma jf ni wikipedia addict, some are suffering through experience... last week i was forced to cancel a ticket dar IAD simply because there was booking related to national carrier

unapohangaika kujibu hoja, usitunge jiandae

JUST FOLLOW THIS LINK
U.S. Department of State | Welcome to Federal Assistance - Grants

THANKS
 
Mkuu Ivuga sijakuelewa unaposema "tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine." Una maana kuwa hizo ndege zimilikiwe na serikali or hata na kampuni binafsi so long ni flag carrier ya Tanzania?

Kujibu swali la Kimbunga sio kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali. Kwa mfano Kenya Airways au British Airways hazimilikiwi na serikali. They are flag carrier ambazo zinamilikiwa privately. Kuhusu Marekani wanayo American Airlines ambayo inamilikiwa na AMR Corporation. Kenya wana Kenya Airways ambayo ilikuwa inamilikiwa na serikali hadi mwaka 1995 ilipobinafsishwa. Kwa sasa inamilikiwa na KLM (26%), Kenyan Government (23%). Percent iliyobakia inamilikiwa na private persons. Unaweza kuwa mmoja ya wamiliki pia b'se shares zinauzwa Nairobi stcok exchange na Dar Stock Exchange.

Nimekukubali

i think hoja ni namna ambavyo our government recognise or has shares

there is also an agreement between government na airline ambapo through philanthropiv agreement au CSR wanapata tax returns etc. mfano delta na virgin

thanks
 
Sijui kama wafuatiliaji wa siasa za Marekani wanakumbuka hii story. Again sina la kusema zaidi. Kiongozi wa nchi maskini amefanya cost analysis na kuona ni vizuri atumie private jets rather than kutumia ndege za abiria.

Tanzania hakuna accountability.

Big Three auto CEOs flew private jets to ask for taxpayer money
CHRYSLER

"It's almost like seeing a guy show up at the soup kitchen in high hat and tuxedo. It kind of makes you a little bit suspicious."

He added, "couldn't you all have downgraded to first class or jet-pooled or something to get here? It would have at least sent a message that you do get it."
The executives -- Alan Mulally of Ford, Robert Nardelli of Chrysler and Richard Wagoner of GM -- were seeking support for a $25 billion loan package. Later Wednesday, Senate Majority Leader Harry Reid reversed plans to hold a test vote on the measure.
An aide told CNN that Reid decided to cancel the test vote when it became clear the measure would fall well short of the 60 votes needed. Reid did, however, make a procedural move that could allow a vote on a compromise, which several senators from auto-producing states were feverishly trying to craft.
At Wednesday's hearing, Rep. Brad Sherman, D-California, pressed the private-jet issue, asking the three CEOs to "raise their hand if they flew here commercial."
"Let the record show, no hands went up," Sherman said. "Second, I'm going to ask you to raise your hand if you are planning to sell your jet in place now and fly back commercial. Let the record show, no hands went up."
The executives did not specifically respond to those remarks. In their testimony, they said they are streamlining business operations in general.
When contacted by CNN, the three auto companies defended the CEOs' travel as standard procedure.
Like many other major corporations, all three have policies requiring their CEOs to travel in private jets for safety reasons.
"Making a big to-do about this when issues vital to the jobs of millions of Americans are being discussed in Washington is diverting attention away from a critical debate that will determine the future health of the auto industry and the American economy," GM spokesman Tom Wilkinson said in a statement.

http://articles.cnn.com/2008-11-19/us/autos.ceo.jets_1_private-jets-auto-industry-test-vote?_s=PM:UShttp://articles.cnn.com/2008-11-19/us/autos.ceo.jets_1_private-jets-auto-industry-test-vote?_s=PM:US

Kikwete anafikiri yeye ni Trumb

727_20046-5.jpg

Mkuu i know what i am speaking

i work on a us government funded intiative and believe me, tukinunua tiketi ambayo haina connection na national carrier, it is a unallowable cost

siwezi kukurupuka kwasbabau we tried to follow this one hata kwa ndege zetu hadi foreign ili tukiwa/na wao wakiwa tanzania wafuate hayo tukashindwa kwani hakuna hiyo kitu

usidhani kila unayemsoma jf ni wikipedia addict, some are suffering through experience... last week i was forced to cancel a ticket dar IAD simply because there was booking related to national carrier

unapohangaika kujibu hoja, usitunge jiandae

JUST FOLLOW THIS LINK
U.S. Department of State | Welcome to Federal Assistance - Grants

THANKS

Well written backed with facts. Big up mkuu!
National flag carrier inasaidia kwa saanaaaaa kuitangaza nchi, whether it's 100% government owned like Ethiopian Airlines ama privately woned like American Airlines....kama ATC wangekuwa ktk hatua waliofikia Ethiopian airlines basi hata kujitangaza kwa Tanzania isingekuwa issue tena. Tusingekuwa tunalalama ooh sijui mlima Kilimanjaro na Serengeti viko Kenya. Aliesema kuhusu Precision to play that role as a national flag carrier naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah....bado wana safari ndefu. Ukitaja Precision Air nobody really even knows if there's ever an airline with such a name, beside, Precision Air doestn't have good aircrafts...bado mnarusha ATR-propeller engine planes!!
 
KWELI AISEE... precision is also majorly owned by Kenya and not Tanzania....
 
[h=2]thiopian airlines to acquire two Boeing 777-200LRs in November[/h]sisi je lini haya mambo?

Ni kweli hili ni tatizo kubwa sana tulilo nalo na haswa viongozi wetu,wao wanakimbilia kutafuta wawekezaji hata ktk mashirika mama kama mashirika ya ndege,reli na bandari huu ni utumwa wa mawazo

Angalia Ethiopia walikuwa ktk vita na sudan na eltria lakini bado serikali inamiliki ndenge zake yenyewe hakuna mwekezaji pale,

tukajifanya wajanja kuungana na south Africa kwa kuwa tulikuwa hatuna nia ya kuwa na ndege zetu wenyewe tumevunja mkataba na wameondoka na ndege zao,

Ni jambo la kushangaza sana nchi Tajili kama Tanzania inakosa ndege zake yenyewe huu ni utahila kabisa
Ethiopian_Airlines.jpg
 
Ethiopian Airlines (Amharic: የኢትዮጵያ አየር መንገድ; የኢትዮጵያ[SUP]?[/SUP] in short), formerly Ethiopian Air Lines, often referred to as simply Ethiopian, is an airline headquartered on the grounds of Bole International Airport in Addis Ababa, Ethiopia.[SUP][3][/SUP] It serves as the country's flag carrier.[SUP][3][/SUP] The company is wholly owned by the Government of Ethiopia.[SUP][3][/SUP][SUP][5][/SUP] Its hub is Bole International Airport, from which the airline serves 61 international destinations and 17 domestic.[SUP][3][/SUP] The company flies to more destinations in Africa than any other airline.[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP] Likewise, it is one of the few Sub-Saharan profitable airlines,[SUP][5][/SUP] as well as one the fastest growing airlines in the industry.[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP] The airline's cargo division has been awarded The African Cargo Airline of the Year in early 2011.[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP][SUP][9]

The airline was featured by The Economist as an example of excellence in late 1987,[SUP][21][/SUP] and economist Paul B. Henze recognized it in 2000 as being "one of the most reliable and profitable airlines in the Third World",[SUP][22][/SUP] In 2007, Ethiopian Airlines provided basic pilot and aviation maintenance training to trainees from African countries including Chad, Djibouti, Madagascar, Rwanda, Sudan and Tanzania. Other training was given to employees of Kenya Airways, Air Zimbabwe, Bellview Airlines, Cape Verde Airlines and Air Madagascar.[SUP][23][/SUP]
Ethiopian Airlines started "Vision 2010" in 2005 which aimed to increase passenger traffic to 3 million, revenue to US$1 billion and employees to 6,000 by the year 2010. In its fiscal year 2007/2008, the airline transported 2.5 million passengers and generated 9.2 billion birr revenue (US$900 million) with a net profit of 507 million birr (US$56 million).[SUP][
Airbus A350-900-12-30318348Expected EIS: 2017[SUP][42][/SUP]
Boeing 737-7005--16102118
Boeing 737-800510-16138154
Boeing 757-2003--16144160
1154170
2155171
2159175
Boeing 767-300ER1--24208232
1210234
2211235
2213237
3221245
130190220
1195225
Boeing 777-200LR41-34287321
Boeing 787-8-10224246270Expected EIS: January 2012
Bombardier Dash 8 Q4008-407878
76471
Boeing 747-200F2--N/A
Boeing 757-200PCF2--
Boeing 777F-2-Expected EIS: September/October 2012[SUP][2][/SUP]
McDonnell Douglas MD-11F2--
Total47356

[/SUP][/SUP]

Hapo kwenye RED mkuu,yaani sisi tunakimbilia kutafuta wawekezaji ktk mambo muhimu yanayo beba hata usalama wa Taifa hili,kila kitu mwekezaji,angalia enzi za mwal haya mambo hayakuwepo ya uwekezaji lakini angalau hata ndege,reli na bandali tulimiliki wenyewe
baada ya wazungu kutulazimisha mambo ya uwekezaji ili waingie kirahisi na kuwekeza Africa Hususani Tanzania,basi nasi tume bweteka na kufisilisi kila kitu alicho anzisha Mwl kwa lengo la kuleta mwekezaji

Angalia KIA,jamaa aliyewekeza ni mkenya na sasa anajenga kiwanja kinachofanafana na kile kile KIA upande wa kenya na kauharibu kabisa uwanja wetu wa ndege ili aje kufanya biashara baadae

bado hatulioni hilo
kweli viongozi bongo ni bongo lala
 
Mkuu Ivuga sijakuelewa unaposema "tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine." Una maana kuwa hizo ndege zimilikiwe na serikali or hata na kampuni binafsi so long ni flag carrier ya Tanzania?

Kujibu swali la Kimbunga sio kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali. Kwa mfano Kenya Airways au British Airways hazimilikiwi na serikali. They are flag carrier ambazo zinamilikiwa privately. Kuhusu Marekani wanayo American Airlines ambayo inamilikiwa na AMR Corporation. Kenya wana Kenya Airways ambayo ilikuwa inamilikiwa na serikali hadi mwaka 1995 ilipobinafsishwa. Kwa sasa inamilikiwa na KLM (26%), Kenyan Government (23%). Percent iliyobakia inamilikiwa na private persons. Unaweza kuwa mmoja ya wamiliki pia b'se shares zinauzwa Nairobi stcok exchange na Dar Stock Exchange.

Mkuu nimekuelewa na nashukuru sana.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom