Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Kama ilivyo sentesi ndefu, haikosi kuwa na koma.
Nami leo naomba niweke koma kwa utumiaji wangu wa JF.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,
ninasikitika kuwataarifu wote kuwa tangu leo (29th July 2011) jioni
Mimi MENTOR bin MENTOR...sitakuwa nanyi tena hapa Jamvini
kwa muda mrefu kiasi.
Inaniuma sana kwamba jambo hili ni lazima litokee,
ila ninaamini yote ni mema.
Ndugu, marafiki na jamaa tulifahamiana hapa jamvini,
napenda kuwashukuru sana kwa uwepo wenu maishani mwangu.
Nawashukuru kwa maoni, maonyo, mafundisho, vichekesho na maelezo yote mliyonipa kwa muda wote
niliokuwa nanyi hapa.
I consider it a great privilege and an honour to have known you..I don't take it for granted, not for a single while!
Kama wahenga walivyosema, "Vikombe kwenye sinia, havikosi kugongana", nami natambua kuwa pamoja na yote ya furaha
yaliyotokea hapa jukwaani kwa mchango wangu, lazima kuna wale niliowakwaza.
Ninaomba, tena kwa unyenyekevu wote, mnisamehe...
Sitajitetea kwa ubinadamu (though to err is human), ila najua kuna ambayo yangeweza kuepukika..
Mniwie radhi kwani pia, "to forgive is divine!"
Nitawamiss sana wandugu..na labda (just maybe...maana taarifa zisizothibitishwa za kiintelijensia zinasema hilo haliwezekani)
niendapo nitapata ka mwanya ka kuingia hapa..lazima nitawajulia hali.
Ila kama haitatokea hivyo..basi chukieni uzi huu kama kiashiria cha upendo wangu kwenu.
Ningependa kumtaja kila mmoja kwa jina na mchango wake katika maisha yangu..lakini najua sitamaliza na wala sitaweza.
Kwa niaba yenu nimtaje Vivian..my sweet darling..c u jioni!!!
Dada Asha..the big sis av never had.
Basi, kwa hivyo niseme tu..I WILL MISS YOU ALL!
UPDATE YA POST #38
Back to topic:
Nilitaka niwataje wote, wa kike na kiume, ila nilijua wengine ningewasahau..
However, isingelikuwa haki kama ningeacha kumtaja kipenzi changu cha roho...sabuni ya moyo, waridi la roho yangu...VIVIAN.
Na dada Asha is the only big sis I have..nilipofika hapo nikakumbuka wengine woooote..
Kina Babu Aspirin na Mzee Mwanakijiji,
Dada zangu; Lizzy, Blaki Woman, Afrodenzi, Husninyo, Esperance, Bht, Zion Daughter, Gaga, Okada, First lady, Rose1980, Ma'swagga, Lady N, Sweet lady, Regia, et al..
mama; FF,
shemeji Kaizer,
wagonjwa; Malaria sugu, Amoeba, Minyoo, et al
watani NN, Senator, Zumbemkuu, my best friends Kbd, King'asti, MTM, First Born, Gugwe, Babkey et al..
washkaji zangu kina The Boss, The Finest, Maba, Voice of Reason, SMU, MTM, Acid, Sulpha, TF, FT, BJ, Elli, Eiyer, Hashy, Memo, Tanmo, Lole, wa Ndima et al..
Wapendwa; Kerren Hapuch, et al
Wadau wa kuandika; Kiranga (naendelea kukuombea uokoke), Rev. Kishoka, Ulimakafu, Susuviri, Jasusi, Ben, Sizinga et al
Wabishi; Saint Ivuga (hons), Rev Fr Masanilo (hons), Bujibuji, Maskini Jeuri, Fidel 80 et al
Watata; Tusker baridi, Steve Diii, Da womanizer, Maalim Jumar, Katavi, Chimunguru, Jeykey et al
Mswahili; X-paster
Sura mbaya; Rejao et al
Wadau wa michezo; Rutashubanyuma, Balantanda, et al
Moderators; Paw, Snail, Invisible, et al...
Formsix leavers; Vanpopeye, Apolinary, et al..(msinichakachulie dada yangu mkikutana huko vyuoni)
Wa kwetu; Mamndenyi, Mkirua, et al
Entrepreneurs; LAT, NxtMillionaire, et al
Halafu kuna kina nyie; enzi nikijiunga hapa mlikuwa so active and i used to admire ur posts sana...
aisee ni wengi..siwezi kumaliza...kwa ujumla wote...

NAWAPENDA SANA NA MUNGU AWABARIKI.
PS: Be the Change You Want to See Around You.