JF Story: Fair Game

ntantau

Member
May 23, 2015
70
126
WANTA
My name is Wanta,The big girl herself, the strongest one among our group of four matured ladies. Yaan strongs ile Ngangarii, u know what I mean ndugu msomi.

Sio kwamba niko Strong sababu nimezaliwa hivyoo. Big no,
I have to made a choice, either niwe weak nionewe na kudharaulikaaa kama ilivyokuwa desturi ya familia yangu kudharaulikaa..au niwe Ngaangari make changes into my life, na nimebadilishaa ndugu msomajii.nimevunjaa karma zoote za umaskinii, za being weak,na sitaki utani katika hiloo, want a Big life, big life kuliko la wahaya wa zamani,kina shomile,I short i wanted to live the life ME,MYSELF and I wanted to live.

I was not easly kabisaa, i must admit, the life itself is so hell complicated than I forecasted lakini, nilisha jiapizaa, hakuna kinachoshindikanaa. Why me and not others, ikiwa mtoto wa Bakhresa anazaliwa,hospitali yoote ya Aga khan tena ile ya ocean road, madaktari na wauguzi woote watakuwa wanahahaa kuliko siku za kuzaliwa watoto waoo,( Ofcourse mtoto wa Bakhresa hawezi zaliwa Tanzania) hahahah, lakini kuna mtoto anazaliwa njiani,hata kufika kutuo cha afya inashindikanaa, nilijiapizaa I want to change my life, kama kuzaa na mimi ikiwezekanaa nizae na Price wa mataifaaa,najuaa hamna atakaye nikubali kunioaa lakini kuwa side chick inawezekana kabisaa,ni juhudi zangu tu hahaah, I tried it, sema nitawapa story siku nyingine.na mimi nionjee pepo ya duniaa.

Ofcourse like i said there are levels to this shit. And but I preffered not to take the natural tradition channel but instead I outsmarted the system and facked it dougie style. When I said I was smart you should have paid a little more attention to that fact.

Naomba nimshukuru Mungu baba aliye mbinguni kwa kuniwezeshaa,nina kipato changu,cha nguvuu,sina shida ndogo ngodoo japo kubwa bado ninazoo kama za kuzaa na mtoto wa mfalme wa saudia hahahaaaana mimimkuingia katika koo zinazotambulika duniani,
Niko na biashara zangu Real Estate Dubai,nanunuaa na kupangisha appartment Air bnb,niko na biashara za nguona mazulia Dar kutoka uturuki,hainilipi lkn inakidhi mahitaji madogo madogoo hasa kumuwezesha Msaada mdogo mdogo Dadangu kipenzi Mama B na familia yake.nimeshatembea dunia,nimeshafanya birthday bali,Maldives na santorini,msiulize niliwezajee ndugu fanani,ni maamuzi tu ya kuwa Strong. Kiukweli niseme Alhamdulillah

Licha ya kuzaliwa maskinii, jaman mimi ni mzurii.
Lizurii hasaaa alafu najitambua kuwa mimi ni mzuriii.kwa hili niwashukuru wazazi wangu,baba yangu ni handsome mmoja matata sanaa akaoa mkewe chotara.mama yangu hajawai kumjua baba yakee na aliwahi kuambiwa baba yake alikuwa mwarabu.

Despite everything i have,jamani mimi mpango wa kuolewa sina leo wala kesho,mpaka sasa sijawai kupenda mwanaume.niseme huyu mwanaume amenikaa rohoni,hapana kwa kweli,nishatembea na wanaume kibao,achana na wa bongo sijui wa afrikaa,nishavuruga duniaa ,na kwelii,wabarikiwe sanaa wanaumee,wamebadilisha maisha yangu,sasaivi naweza kukaa meza moja na kina Zuri,watoto walio zaliwa wanaogeleaa kwenye pesaaa,baba waziri,mama mtoto wa mkuu wa mkoa mstaafu,kasoma shule za maana,full of life,nakaa nao na nina watingishaa vile vilee.

Kinachonikeraa,ni kalele za unaolewa linii,kila ukikatishaaa,ni unaolewa linii,,.jaman sio kila mtu ndoto yake ni kuolewaa,mnapelekea kina niffa na rest kuoa vi ben ten uku wakiji mwambafai kuwa wameolewaaa,

Nimeshaangaliaa walioolewaa,hizo ndoa zimewafikisha wapii.hahahaaa nikianza na dadangu kipenzi Mama B,amestaki kimaisha hana mbele wala nyumaa kisa ndoaa,angekuwa mbali sana ila ndoa na familia zimemkalisha hapo hapo.hasogei, bila kuingia pale kati ada za watoto huwa zinamshinda yeye na shemeji yanguu,.

Sasa leo katika Ladies evening tea,nimewekwa kati.nimewekwa katii,naolewa linii, na bwanangu nani maana woote nawafahamu ma bwana zao lkn wangu hawamfahamuu,niko na mpango gani.
Nimebaki natoa machoo tu sielewi ata niwaambie nin
 
To yeye karibu lunch
 
Chizi mmoja ....😄😄
 
Naombaa nijitambulishe rasmii..
Jaman mimi sio laraaa.
Ila ni fan wa laraa
Hata mimi nime mmiss sana lara 1
 
ZURI.

Im Zuri. The CEO of Zuri microfince,mjukuu wa aliyekuwaa mwenye Dar es salaaa yake.aliyejua kutamba nayoo na kuinyoosha sawaa sawaaa,nani asinijuaa,nani asiyenifahamu Zuri mimi, niko na full of connection,sio connection za Gigi money na chuma hahahaha lkn, u know what i mean
Kama wewe msomaji wa hii stories and you need connections,be team Zuri baby and stay turned.

Im blessed,blessed in multiple ways..,first of all niko loved,niko na kismati cha kupendwaa.kila ntakapotokea lazimaa nipendwee,pili, niko na wazazi wako na pesaa,achilia mbali kusomaa vyuo mbali mbali duniani,nimebarikiwaa pesaa,niko na kampuni yangu ya Microfinance.nina transfer money inchi mbali mbali,hasa nalenga from Dubai to Africa,nimeanza na niko na matawi matawi katika nchi tatu,Nigeria Kenya na Tanzania,last week nimetoka kufuatilia vibali vya kufunguaa tawi jingine inchini Rwandaa kwa mzee Kagame,

Huko Rwanda ndiko kunako nichanganyaa mimi Zuri,I met a guy..ooohh, he is everything, jamani ni mukaka muzurii sanaa,kiukweli nimejaribu kumtoa akilini nimeshindwa,its the first time kuhisii my heart is twinkle twinkle for someone,Uwwwwii mbona makubwaa hayaaa.kupatwa kwa Zurii.

Kama ilivyo ada nilitegemea atanitongozaa,Walaa hana ata muda,yuko bizee na ishu za msingi tu,his name is Robinson Mukizima,At the first time i swear to God i have to get him, no matter what.

Everything was seem easier ndugu msomajii,easier to me,until i met Rob,huwa nikimtaka mtu,sipati shidaa,ananitongoza mwenyewee,im always there nitongozwee,nikitaka kitu napataa bila shidaa,mpaka huwa wanasema niko na bahati ya kukata na shokaa,

For the whole two good weeks,i didn't get board,huwa naboeka mapema sanaa nikiwa na mtu, lkn kwa Rob usiku ukiingiaa natamani pakuche tuendelee na kazii,basi tu nimuonee,i asked my self what is this........
Jmn, mnyarwanda ndo kwanza hana mpango wala dalili,tuko bize bizee,na alivyo sirius,ndo alikuwa ananipea kimuhe muhe cha kumtaka zaidi,

At the time aondoka Rwanda,nikampigia babu yangu,mtu wangu wa kuniongozaa,my mentor in my whole life.The one and himself,Mzee Anwary,
Nikamwambia I need ur wisdoms grandpa.......

Nimefika Dar, nikaonanaa na babu.nikamwambia
" i met him'
Akaniuliza ' who?!'
Nikamwambia' the one,the right one, i wont marry Mudhakir,i dont think i love him enough,....
I met the guy, who i thing i love him, i think i can stay with him,i think i can live with him, i want to marry him,!!

Babu akauliza, are u dating a new guy,nikajibu Nop,
Akashangaa,,then akauliza,who you want to marry then,
Nikaa vizuri, ndo nikarialize kuwa im not okey,.how nashindwa ata kujielezea vizurii.

Nikamwambiaa, " Babu bwana mimi uko Rwanda,ninakofungua a new branch,kuna kaka nimekutana nae,ni mnyarwanda, nimempendaa,mimi ndo nimempendaa,yeye hajaonyesha dalili yoyote ya kunipendaa,lkn nakuhakikishia babu mimi ndo nimempenda ,ndo mtu ninaweza ishi nae,tofauti na Mudhakir kila siku nasogeza tarehe ya harusi mbele,siwez kukaa siku nzima na mudhakir bila kuborekaa,lazima nimwambie i want to be alone,i want my freedom,lkn huyu babu week mbili,i was much confotable around him babu.
Please.....
Babu akanisikiliza kwa makini akasema,
" Give yourself a time, you will know if he is one,
" Babu, how can i know he is the one,"
Akajibuu
"Love can be very confusing,you choice who you want to be with,and ur together as along as it work, until ur not..

How would i know it works,,

Zuri,dont listen to your heart,your heart can be confused,dont listern to ur head, your hear can be fooled, listern to your spirit,spirit always knows, what does your spirit tells you??
What is the spirit grandpa,spirit is non physical part of the parson presenting their true essence and inner being
Spirit is the energy,they can whispers, feel or see a sign of realize.

Babu akanyanyukaa na kuondokaa zakee.
Nikabaki na ngangaaa sielewiii
Mambo ya spirit tenaaa
Babu mbonaa sielewiii kabisaaa

Mi namwambiaa nampenda mwamba wa kinyarwandaa yeye ananiletea mambo ya spirit,
Au babu anakaribia kufaa

Nikiwa nimeduwa duwaaa
Ikaingia simu,
Zuri,usisahau Chai part Hollydai inn..

Nikakumbukaa,tukamjadili Wanta vipi mwenzetuu, au kawa msejaa,Umri unaenda hatuoni dalili za mume hata boyfriend.
Tunajua ni mzuri lkn tayari yuko third floor,uzuri huwa una expire, hahahahaha

Nikafikiria ya kwanguu,bora wanta haelewekii,mimi naenda kuvunja Engagement ya nne sasaa,tenaya safari hii ni ya mtoto wa waziri wa utalii wa Zanzibar ndugu msomajii...
Kama sio kulogwaa ni nini...
Aliyelogaa alinuiaaa vibayaaa mnoo kuniharibiaa,hahahahh
Nikiwa nimezubaa palee, ikaingia message from Grandpa
"Happiness can be found even in a darkness time,but remember to turn the light on."
 
Back
Top Bottom