Naweka 'koma' (,) JF Leo...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,329
23,874
Kama ilivyo sentesi ndefu, haikosi kuwa na koma.
Nami leo naomba niweke koma kwa utumiaji wangu wa JF.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu,
ninasikitika kuwataarifu wote kuwa tangu leo (29th July 2011) jioni
Mimi MENTOR bin MENTOR...sitakuwa nanyi tena hapa Jamvini
kwa muda mrefu kiasi.
Inaniuma sana kwamba jambo hili ni lazima litokee,
ila ninaamini yote ni mema.

Ndugu, marafiki na jamaa tulifahamiana hapa jamvini,
napenda kuwashukuru sana kwa uwepo wenu maishani mwangu.

Nawashukuru kwa maoni, maonyo, mafundisho, vichekesho na maelezo yote mliyonipa kwa muda wote
niliokuwa nanyi hapa.
I consider it a great privilege and an honour to have known you..I don't take it for granted, not for a single while!

Kama wahenga walivyosema, "Vikombe kwenye sinia, havikosi kugongana", nami natambua kuwa pamoja na yote ya furaha
yaliyotokea hapa jukwaani kwa mchango wangu, lazima kuna wale niliowakwaza.
Ninaomba, tena kwa unyenyekevu wote, mnisamehe...
Sitajitetea kwa ubinadamu (though to err is human), ila najua kuna ambayo yangeweza kuepukika..
Mniwie radhi kwani pia, "to forgive is divine!"

Nitawamiss sana wandugu..na labda (just maybe...maana taarifa zisizothibitishwa za kiintelijensia zinasema hilo haliwezekani)
niendapo nitapata ka mwanya ka kuingia hapa..lazima nitawajulia hali.
Ila kama haitatokea hivyo..basi chukieni uzi huu kama kiashiria cha upendo wangu kwenu.

Ningependa kumtaja kila mmoja kwa jina na mchango wake katika maisha yangu..lakini najua sitamaliza na wala sitaweza.
Kwa niaba yenu nimtaje Vivian..my sweet darling..c u jioni!!!
Dada Asha..the big sis av never had.
Basi, kwa hivyo niseme tu..I WILL MISS YOU ALL!
NAWAPENDA SANA NA MUNGU AWABARIKI.


PS: Be the Change You Want to See Around You.

UPDATE YA POST #38

Back to topic:
Nilitaka niwataje wote, wa kike na kiume, ila nilijua wengine ningewasahau..
However, isingelikuwa haki kama ningeacha kumtaja kipenzi changu cha roho...sabuni ya moyo, waridi la roho yangu...VIVIAN.
Na dada Asha is the only big sis I have..nilipofika hapo nikakumbuka wengine woooote..
Kina Babu Aspirin na Mzee Mwanakijiji,
Dada zangu; Lizzy, Blaki Woman, Afrodenzi, Husninyo, Esperance, Bht, Zion Daughter, Gaga, Okada, First lady, Rose1980, Ma'swagga, Lady N, Sweet lady, Regia, et al..
mama; FF,
shemeji Kaizer,
wagonjwa; Malaria sugu, Amoeba, Minyoo, et al
watani NN, Senator, Zumbemkuu, my best friends Kbd, King'asti, MTM, First Born, Gugwe, Babkey et al..
washkaji zangu kina The Boss, The Finest, Maba, Voice of Reason, SMU, MTM, Acid, Sulpha, TF, FT, BJ, Elli, Eiyer, Hashy, Memo, Tanmo, Lole, wa Ndima et al..
Wapendwa; Kerren Hapuch, et al
Wadau wa kuandika; Kiranga (naendelea kukuombea uokoke), Rev. Kishoka, Ulimakafu, Susuviri, Jasusi, Ben, Sizinga et al
Wabishi; Saint Ivuga (hons), Rev Fr Masanilo (hons), Bujibuji, Maskini Jeuri, Fidel 80 et al
Watata; Tusker baridi, Steve Diii, Da womanizer, Maalim Jumar, Katavi, Chimunguru, Jeykey et al
Mswahili; X-paster
Sura mbaya; Rejao et al
Wadau wa michezo; Rutashubanyuma, Balantanda, et al
Moderators; Paw, Snail, Invisible, et al...
Formsix leavers; Vanpopeye, Apolinary, et al..(msinichakachulie dada yangu mkikutana huko vyuoni)
Wa kwetu; Mamndenyi, Mkirua, et al
Entrepreneurs; LAT, NxtMillionaire, et al
Halafu kuna kina nyie; enzi nikijiunga hapa mlikuwa so active and i used to admire ur posts sana...
aisee ni wengi..siwezi kumaliza...kwa ujumla wote...
 
Jamani usiondokeeeeee sijui nilie ili ubaki????(((sob sob sob)))
 
I am still getting to the idea... I am so SAD.

Take the following dedication.. From Judged Edge


(talkin)
Sometimes
What may be the best thing
For you to do
Sometimes thats the hardest thing
For you to do
And that, that's real you know 'cause
I know I love you
I know how I feel about you
But I also know that don't
Make everything aight
And for that reason
I gotta say goodbye

Tell me
Have you ever been in a
a situation where the best thing you could do
Was the hardest thing
You've ever done (The hardest thing you've ever done)
But you tried to do
What's right
And I know deep down inside
That I really wanna be
There by your side
But I can't stand to see you cry
Not when it's because of me
Yeah, yeah, yeah

(chorus 1)
When it's over baby {its over baby}
I'll never love another (i'll never love another)
I'm always thinking of her
I'm doing this because of her

(chorus 2)
and I don't wanna say goodbye
I don't wanna let her see me cry
Looking out the window and
wonderin' why
Did we have to
Say all those things
That we said last night (that we said last night)
Baby
I don't wanna say goodbye
So I'm just standing here
Wondering why
Just don't like to
See you when you cry
So I'mma say goodbye

what you think cause
I packed your stuff
That inside I aint really
Really cracking up?
'Cause you're wrong
I just hide it good
'Cause I know that's
What you need girl
And there's more to life
Than loving yourself
You gotta learn to
Love somebody else, yeah
And that's why I
Do the things that I do
Oh

(chorus)

Aint no one in this world that can ever take your place
all the love that we shared it can never be erased
and I know that, that it hurts so bad
and i'm sorry, you were the best i had.

(repeat ^ 'til fade)

With Abudant Love from your one and only sis....
 
The hardest part of any friendship is when it's time to say goodbye. As much as we might like things to stay the same, change is an inevitable part of life. The universe may seem huge and the rift between friends on opposite side of the world may seem a great distance. There are many tools available with which we can communicate, but even without these tools there is a secret that only real friends know, and it is this. All the mountains and valleys in the world cannot separate friends whose hearts are as one.

KWAHERI BANA RAFIKI
 
We all go through life with the love of friends and family
Even though we know they will all leave us eventually
Never knowing where the future might lead you
No worries though, there is a ..........

 
Jamani usiondokeeeeee sijui nilie ili ubaki????(((sob sob sob)))

JS, if tears would help, trust me, I'd have cried a river ili niweze kuendelea kubaki hapa.
Don't cry, utanifanya na mimi nilie zaidi...futa machozi piga moyo konde
na unitakie safari njema.
Nitarudi, its just a comma...
 
  • Thanks
Reactions: JS
mkuu unaenda wapi?
kuna kitu gani kimekufanya ufanye uamuzi huo?
naomba tueleze kama umeona jf haina mpango,tafadhali mkuu tupe hiyo taarifa
 
I am still getting to the idea... I am so SAD.

Take the following dedication.. From Judged Edge


With Abudant Love from your one and only sis....

Dada Asha,
nashukuru for the dedication..I hate to say GOODBYE..
so for you I'l say, "CHEERIO I'LL BE BACK SOON."
 
The hardest part of any friendship is when it's time to say goodbye. As much as we might like things to stay the same, change is an inevitable part of life. The universe may seem huge and the rift between friends on opposite side of the world may seem a great distance. There are many tools available with which we can communicate, but even without these tools there is a secret that only real friends know, and it is this. All the mountains and valleys in the world cannot separate friends whose hearts are as one.

KWAHERI BANA RAFIKI

Hey buddy, I remember u from tym back..ulipotea!!
But nafurahi kujua u r fine..
It is truly hard to say goodbye...but the good thing is, "Milima haikutani, bali binadamu hukutana."
 
omg! is there anything i can do to make u stay? plzzzzzz

Haha..change ur avatar!lol..no..don't, jus joking!

My dear..kama ukinipa kazi UN anything to do with social welfare..i will stay!
 
We all go through life with the love of friends and family
Even though we know they will all leave us eventually
Never knowing where the future might lead you
No worries though, there is a ..........


No worries Kimatire,
There is hope for tomorrow..sipo JF physically but spiritually tupo pamoja!
Endeleza kazi nzuri uifanyayo..i admire your posts btw.
 
mkuu unaenda wapi?
kuna kitu gani kimekufanya ufanye uamuzi huo?
naomba tueleze kama umeona jf haina mpango,tafadhali mkuu tupe hiyo taarifa

Mkuu, niendapo ni siri ya kiintelijensia,lol! anyway..naenda sehemu ya mbali ambapo hakuna intaneti kaka..
Sababu ya mimi kuondoka haihusiani kwa vyovyote na Jukwaa hili maridhawa...ni sababu za kikazi tu!
Ubarikiwe sana...
 
tutakumiss sana jamvini.......Mungu akulinde ufike salama urudi salama uwe pamoja nasi tena

BW, I will miss you my dia...najisikia kulengwa na machozi sasa...
Amen to your prayers..I will come back..
nami naomba Mungu akulinde nirudipo niwakute wote mpo salama!!!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom