georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,882
Ewaaaaaaaaaa, umepigia jibu mstari.Ili uolewe ndo inabidi ufanye haya sio...? Lol
Ewaaaaaaaaaa, umepigia jibu mstari.Ili uolewe ndo inabidi ufanye haya sio...? Lol
Utafanya yote hayo na bado ataenda kutafuta the opposite. Na kama mmoja alivyouliza hapo juu mwanamke unapata nini in return? Dont a woman also want to put her feet up and be pampered? Jianaume lina masajiwa lina koroma tu oooh yeah bebi... hapo mwenyewe umechoka balaa, hata ile kukupa a glass of water ukiwa umechoka anaona kazi! Its all about him and his ass!
she is married already..unadhani kuolewa ndo hadi umlambe miguu mwanaume
UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAWAZA KUMSALITI KWELI BOY.
1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini khaa, nguo zishapigwa pasi
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sana!
4. Umejipunzisha kwenye kochi au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia masaji, unaishia kusema "thanks baby".
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.
6. Anapenda ndugu zako.
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)
8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani. Full kuenjoy kidume.
He heee heee, ila wanaume hatuna dogo, unaweza fanyiwa yote hayo na kesho uka malizia, ingawa siyo kila mwanaume anaweza fanya hivyo.
hahahhaha kwelii..AF UKUTE NA HELA HAKUPIII,Yani mwanume kama hana mshipa wa kunitendea hayo ASAHAU,
Ah wapi katafute kuku wa kienyeji huko shamba!Ewaaaaaaaaaa, umepigia jibu mstari.
Yipeeee. Where my girls at? Hahaaa. Twendeni tukaleweee wikiendiii.
Aisee kweli... some men can be very selfish. Someone once told me, that you can learn what ur partner wants to be treated from vile vitu vizuri anavyokufanyia. Sasa mwanaume kila ukija unasemeshwa vizuri, unawekewa maji ya kuoga, anaku massage etc... unadhani siku ukimwambia wife leo its ur day ukam massage japo miguu, ukampakulia chakula japo once in a year basi, unadhani atakasirika?! Dude thats how she ALSO wants to be treated! Sasa kama na hela hakupi lol hapo ndo ntajifanya am too stressed nawaza hela so sorry man... am not in the mood! Anijembeshe hivyo kisa nini... kesho unaamka na pockets kwenye macho umepaukaa... eti kisa unahudumia bwana! Haihusu!
Yipeeee. Where my girls at? Hahaaa. Twendeni tukaleweee wikiendiii.
nimekumiss jamani
Men men men!!
Can't kill them, can't live without them.
Hahahaaaaaa.Mupenzi nasikia ulienda bunge la katiba...
Hahahaaaaaa.
Mupenzi hawayuuuuu?
tena ni ubinafsi na kujifanya mungu mdogoMpaka hapo wewe umefanya nini kwaajili yake?Msipende kufanyiwa tuuuu kila kitu na kila siku.