Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

My dear, a man who treats his lady like a princess, grew up in the hands of a queen!

Cousin wangu aliolewa na mwanaume wa kisukuma. Ameteswa mateso yote yaliyoko huku duniani, kupigwa, matusi ya nguoni na viatuni, kunyanyaswa, you name it! 20 yrs later dada amejinasua na still hatuna imani kama hatojirudisha!

Im just sayong malezi na makuzi ya msukuma wa sample yako yanachangia kiasi kikubwa!
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
 
Wanadada shida sana, kaliwa tu na msukuma na kumpa laki basi anakuja hapa na kutuchefua sisi wengine. Njoo kwangu uone mchaga anavojua kulea na kucare ila reason. Sio unaambiwa tu nataka niende moshi kwa ndege na hela inayotosha ni milioni mbili na wewe unatoa tu, kucare au ufala huo. Unabidi ulete break down ati!
 
hata useme nini, kwa msukuma huniambii kitu.
 
unajua wanawake wengi wanapenda wanaume ambao kwao ni raisi kuwadanganya,akimwambia naenda kwa dada nitakaa siku tatu, mwanaume anakubari tu, akisema siku hiz boss wangu kanipangia kazi za jumapili ,mwanaume anakubali kiurahisi . tuseme ukweli wanaume wa kama haya are too inferior kwa wake zao.

kumpenda mtu si kuwa inferior. kama mtu akikupenda then uka-take advantage na kumfanyia vitu vibaya, hilo ni jambo lingine na ni dhambi hata mbele za Mungu.
 
Nawapenda sana yaani they care a lot and gud enough wana nguvu kitandani

....ha ha ha mayo bhebhe!!!! oleyomba gwamuhana gethe gethe...wabheja sana...mayo...ASANTE SANA SHEMEJI
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Inabidi uwe mweupe lkn
 
Ni kweli kabisa, hata kina kongosho, kaunga, sikonge na wengine watathibitisha hili
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Sema labda kilichokuvutia ni yale mamtalimbo ya kisukuma hua ni marefu halafu makubwa sana kwa hiyo yanatekenya bila kuacha sehemu. Lakini kwamba sababu ya ku-care! aaa wapi !!
 
...Madume ya kisukuma tumetulia tuli tunafuatilia kimya kimya hii thread....mwanzo nilizani ni wangu wa ubavu ndio kaanzisha hii thread maana ndio sifa ninazopewa ikabidi nimuulize kama kajiunga na JF...pamoja kuwa mimi ni msukuma wa kuchovya (nimezaliwa uswahilini) ila naona kuna kaukweli.....kinachonishangaza hasira na chuki zinazoonyeshwa na wengine....kama hukubali mada kaanzishe thread nyingine ujisifie...huu uwanja wetu madume ya kisukuma...endelea kushuka queeny
 
Last edited by a moderator:
Duuu wasukuma wamepata promo kubwa sana kwenye uzi huu aisee.
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

wasukuma na kama wamakonde...
hawana kuhojii
wanwake wengi mnataka Jamaal awe anakusikiliza wewe tuuu na wewe ndo uwe una final say
saa wasukuma kiukweli wao na u.c.h.I ni kama nzi na kidonda
P.S kama weye mchagga....hakuna jipya kwenye sredi maana apo utakuwa umepata starlet automatic...easy to manage
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua
kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo
hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking
about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Je kama wana mapenzi ya kweli kwa nini hupenda kuoa wanawake wengi? Mapenzi ya kweli hayagawanyiki
 
Ha ha ha!ww ni mwanaume wa aina yake! I wonder watu hawajui ku apreciate vtu vizuri! Thank God I kno u r my precious metal to adore! Natamani nikubebe, to tell the world how valuable u r! U have a lot kujivunia,, I don't want to loose u! As sichoki kukuwaza!! Kichaa msomi bwana maakili mengiiiiiii!!! U r great! Thank u jamani! Nakupenda
 
uzuri wetu tunajua kupenda sana na tuynajua kuwaoaq wengi yaan ukizubaa bhata kumi na wote mnapata dozi kama kawa.
 
Mtafika mahali mtasema mwanaume wa kisukuma mkristo ana care zaidi kuliko muislamu....
Ninachoamini ni kwamba kupenda na kujali hakumo kwenye kabila la mtu bali ndani yake yeye mwenyewe....

Ni kweli kaka, kupenda, ku care etc; hakutegemei kabila la mtu. Yawezekana mleta thread hii, alibahatisha Wasukuma wawili au watatu hivi, hivyo anajaribu ku-generalize kuwa Wasukuma wote wako vile.
 
Mi naunga mkono hoja wanaume wa kisukuma bwana they r so caring, whtever u may call them lakin ukweli ndo huo, they are so nice THEY KNOW WHAT A WOMAN WANTS................Hongeren kaka zanguuuuuuuuuuuuuuu:smile-big:
 
Back
Top Bottom