Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

mi ndo nshafika hivyo...na huo uduni wa mwanamke bado sijauona.

Sawa mama tusikuchefue na ngalu wako wa kisukuma....ila hiyo iwe changamoto kwako kujiandaa kutetea hoja unazoleta na lengo letu si kukuchonganisha na baby wako wa kisukuma ...hapana ila ni kutaka uthibitishe na si vinginevyo....enjoy 9t na my husband wako,ila ntakuona unabusara sana siku yakikushinda unitumie kasms kwenye secrety box ,japo sipendi yatokee lakini kwa kigezo chako hicho na niwajuavyo hao mabwana it's soon
 
Pia na mabwege halafu ni mashamba na ni mahongaji makubwa tu.Haina haja hata ya limbwata utayaendesha utakavyo.Si ndio raha yenu nyie mabinti.Pambav..

Hapo unatuonea aisee tunafanya mchakato wa kufungua mashitaka, unajua wasukuma wapo wengi na ni wahangaikaji sana na wazee wa kujitutumua kutoka point A kwenda B kuuza bidhaa zao hivyo kwa kuwa wanafika maeneo ambayo ni mapya na kwa kuwa ni wengi wanaingia mijini kuuza mali zao kama kawaida inakuwa rahisi kwa baadhi yao kuonekana washamba. Makabila mengine hayaonekani washamba kwa kuwa wajanja wachache ndio wenye uwezo wa kuleta mali mjini wengine wamebaki vijini hawana cha kupeleka mjini, sasa kwa wasukuma wengi wao kwa miaka ya nyuma walikuwa wana cha kuuza na kuleta mjini na ndio maana ni rahisi kutuweka group la washamba kwa kuwa mjini ni mjini hata kama umekulia let say nje ya jiji la Dar siku ya kwanza kutia timu jijini lazima ubabaike kidogo sembuse ndugu zangu wa Itabangunba, Wemasonga, Mwamashimba, kikubiji n.k.

Sisi ni waungwana ila kwa upande mwingine unahitaji uzoefu wa kujua tabia za msukumu maana unaweza ukaongea nae na akakuambia hakuna shida ajabu ukija kesho yake unakuta kile ambacho umekubaliana nae hajatekeleza hapo ujue amekuona hufai akakupa hope
 
Sawa mama tusikuchefue na ngalu wako wa kisukuma....ila hiyo iwe changamoto kwako kujiandaa kutetea hoja unazoleta na lengo letu si kukuchonganisha na baby wako wa kisukuma ...hapana ila ni kutaka uthibitishe na si vinginevyo....enjoy 9t na my husband wako,ila ntakuona unabusara sana siku yakikushinda unitumie kasms kwenye secrety box ,japo sipendi yatokee lakini kwa kigezo chako hicho na niwajuavyo hao mabwana it's soon

usijali, mambo yakiharibika u'll be the first one to know.
 
pointi!
Hapo unatuonea aisee tunafanya mchakato wa kufungua mashitaka, unajua wasukuma wapo wengi na ni wahangaikaji sana na wazee wa kujitutumua kutoka point A kwenda B kuuza bidhaa zao hivyo kwa kuwa wanafika maeneo ambayo ni mapya na kwa kuwa ni wengi wanaingia mijini kuuza mali zao kama kawaida inakuwa rahisi kwa baadhi yao kuonekana washamba. Makabila mengine hayaonekani washamba kwa kuwa wajanja wachache ndio wenye uwezo wa kuleta mali mjini wengine wamebaki vijini hawana cha kupeleka mjini, sasa kwa wasukuma wengi wao kwa miaka ya nyuma walikuwa wana cha kuuza na kuleta mjini na ndio maana ni rahisi kutuweka group la washamba kwa kuwa mjini ni mjini hata kama umekulia let say nje ya jiji la Dar siku ya kwanza kutia timu jijini lazima ubabaike kidogo sembuse ndugu zangu wa Itabangunba, Wemasonga, Mwamashimba, kikubiji n.k.

Sisi ni waungwana ila kwa upande mwingine unahitaji uzoefu wa kujua tabia za msukumu maana unaweza ukaongea nae na akakuambia hakuna shida ajabu ukija kesho yake unakuta kile ambacho umekubaliana nae hajatekeleza hapo ujue amekuona hufai akakupa hope
 
natumaini masaburi hayakutumika katka kufikiria sentensi yako..na kama hayakutumika,nini basi kimetumika?...Wasukuma asilimia kubwa wanajua kupenda,na wakipenda wanjitolea kwa lolote kudhihirisha upendo wao bna..wacha wapewe sifa zao ....+kipenda roho..?..
Sio mna care ni mabwege
 
Nawapenda sana yaani they care a lot and gud enough wana nguvu kitandani
Hata wakiongea kisukuma, kama kuna glass yenye ufa karibu, inapasuka kwa jinsi wanavyotumia nguvu hata kwenye kuongea.
 
hahaha,how?

Ukitaka kujua theory ya vyuma pita maeneo flani ya kilwa (Mhoro na Kimambi Liwale) utaona wanavaa vyuma kama wanawake wa kimasai, bahati mbaya sikupata wasaa wa kudadisi viunoni kama wana shanga au la, ila yawezekana wanavaaa shanga pia. Suala la kudhan kila mtu ni msukuma kuna jamaa msukuma mmoja anatendence ya kumsalimia kisukuma kila anayekutana naye ofisin! Of coz ni tabia njema, lakini haiondoi ushamba wao!!! Hahahahaha! Ila honesty najisikia kuwa komfotabo nikiwa na kampani ya msukuma!!!
 
Ahh, haya bana, sisi Wanyamwezi wa Kusini (Wadakama) ngoja tujikalie kimya.

Wasukuma mmeshapendwa, kachamkieni deal hizoo.
FirstLady1 dada yangu, anza kukusanya Mawifi kwa kaka zako wa Kisukuma. Wakizidi basi sema wewe Mnyamwezi 🙂

hahahah Sikonge lakini wasukuma na wanyamwezi mbona ni sawa sawa tu..
Ila huyo mrembo hapo juu hajakosea hata kidogo masifa aliyowamwagia yana ukweli..labda ukute wale kichwa maji tu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom