Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Hahaha, usitake kumsema kaka yako Dudu Baya.....
hahahah Sikonge lakini wasukuma na wanyamwezi mbona ni sawa sawa tu..
Ila huyo mrembo hapo juu hajakosea hata kidogo masifa aliyowamwagia yana ukweli..labda ukute wale kichwa maji tu...
Last edited by a moderator: