Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Ni kweli dada wala hawana tabia ya kuomba kula 0713 ka wa dar.
 
Shida yako unatafuta mwanaume umgeuze punda wako, wanaume wa jinsi hiyo wanapatikana Usukumani, hasa wanapokutana na wanawake weupe, ama wa pwani. Kaza buti, siku hizi hakuna mume wala mke wote ni kula kwa jasho tu. Mwanamke siku hizi anazaa kwa uchungu na kula kwa jasho pia
 
Inategemea unaposema wana-care una maana gani. Kwa sababu mwingine ukimpa hata pipi anashukuru na kusema una- care. mwingine mpe gari anasema huna care. hivyo care inategemea perception ya mtu, level yake ya maisha nk. care unayoongelea wewe ni ya kiwango gani.
 
ni kweli aisee wanaume wa kisukuma wako poa sana!! ila wa kibena(hehe) mmmh!! kaazi kweli kweli
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Sio kupenda tu hata KUTENDA lile jambo wako makini sana. Kama hujapata kulia kwa raha wakati wa tendo basi jaribu msukuma utaililia tu:rockon:
 
kwa wadada ukiona mwanaume wa kikurya kakupenda we mlazimishe mpange au mjenge karibu na hospital au zahanati ili siku akikupa kichapo hiwe ni rahisi kupata huduma,vinginevyo utakufa mapema
 
Kama ni wanawake kua treated harshly iyo ni kwa makabila mengi tu Tz..na afrika kwa ujumla..
Haitaji kamusi.......maana yake anakuwa harshly treated na hii haina chuki ila ni ukweli ulio wazi
 
habari zenu... Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc. Wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi. Trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. I know what am talking about. Nb; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...
wao wanakupenda?
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

mule mule unataja cfa zangu dah umejuaje najvunia kuwa msukuma,
 
me ni mwamume ojirino wa kisukumma shinyangaaa,tena tuko wapole haswaa

SO CHIEF YOU ARE PROUD TO BE SUKUMA....AHAHAHA NATURAL MAN?...

AHAHAHA UMETISHA CHIEFFFF..CHAPA NGOMBE. ILA ACHENI WANAWAKE WAWAPENDENI COZ NILIFANYA SIMPO RESEARCH NA KUGUNDUA 95-99% YA WANAWAKE WENGI HASA WA MIJINI WANATAMANI KUONJA LADHA YA M-##BOO YA MAGANDA/ ISIYOMENYWA....JUST FOR CURIOSITY...

SOKO LENU LITAONGEZEKA NA MNAWEZA KUANZISHA UTALII WA NDANI KENYE KITENGO CHA NGONO...SEXUAL TOURISM....hii inawaingizia kipato cha kutosha nchi ya jamaica....

CONGRATS SUKUMAZ and other NATURAL MEN.
 
Kama ni wanawake kua treated harshly iyo ni kwa makabila mengi tu Tz..na afrika kwa ujumla..

Ofcoz, sasa wewe umesema makabila mengi sasa je miongoni mwa hayo makabila mengi wewe na huyo dada mnataka kutuaminisha kuwa tuwa-exclude wasukuma na maana yenu ni kwamba hao wasukuma ni tofauti,.....sasa kulijibu hili uwe makini sana na usitumie hisia vinginevyo utacomit fallacy kubwa sana na ukumbuke jerea zako za nyuma.....mpaka hapo umeshamjibu huyo dada kwa kukanusha post yake.thanx
 
Mi naunga mkono hoja wanaume wa kisukuma bwana they r so caring, whtever u may call them lakin ukweli ndo huo, they are so nice THEY KNOW WHAT A WOMAN WANTS................Hongeren kaka zanguuuuuuuuuuuuuuu:smile-big:

T z true! Hata wagogo!
 
Back
Top Bottom