Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Duniani kuna mambo!!!!!!!. Sijawahi kusikia mtu anapenda mwanaume wa kisukuma .Utakuwa wa kwanza. Labda huyo uliyekutana naye alikudanganya siyo msukuma. Wanaume ni wakurya tu

Wakurya wanaume kwenye kuchapa wanawake tu. Kwenue mambo ya chumbani wasukuma ndo habari ya mujini.
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Kashindwa tu kusema wanaume wakisukuma wana pesa.wana mifugo na wana mashamba,ndio maana anawapenda.
Anavyoonekana hata wamakonde anawapenda,sema kwa sababu wanavaa mashuka ndio mana hajawamentn.

USHAURI WAKO NI PUMBA KABISA wanawake Tz mko wangapi na wanaume wakisukuma ni wangapi.
Ushawaita mwnywe,wakija na wakamkwiba bwanako,uwe kimya.
 
Ninachojua hakuna mtoto anaezaliwa na tabia mbaya! kwa mfano kuna watu humu wamekuwa wanalalamika kuwa Wachaga wanapenda sana pesa/ wabaguzi nk. lakini sikwamba wachaga wsnazaliwa wakiwa na tabia hio! inaweza kuwa ni malezi wanayopewa. au mazingira yanayowazunguka ndio yanawafanya wawehivyo. hivyo kuhusu Wasukuma naweza kukubaliana na mleta mada.
 
Ni kweli wasukuma wako poa sana nakubaliana na ww asilimia 95 ila co wote izo asilimia 5 wanamatatizo alaf mpate alielelewa kwenye maadili ya Sundayschool na ameshika dini utakua kama malikia.
 
Ni kweli wasukuma wako poa sana nakubaliana na ww asilimia 95 ila co wote izo asilimia 5 wanamatatizo alaf mpate alielelewa kwenye maadili ya Sundayschool na ameshika dini utakua kama malikia.

Wasukuma waliosoma wana uafadhari ambao hawajasoma vimeo tu tena visivyovumilika.
 
Back
Top Bottom