Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

usiwe unaongea ukweli mbele za watu....!!
 
queeny,
Wasukuma wa wapi unaoongelea? Wa Geita,Mwanza,Shinyanga au wa Kishapu maeneo ya Isemelo,Buzinza,Mwamashimba,Mwabuzo karibu karibu na Meatu-ambao wanawake wanatumikishwa kwa mikokoteni,kulima mashamba,vijana wanawaacha wake zao watunzwe wao wanaishi maporini kuchunga ng'ombe?
I hope umekutana na msukuma wa mjini aliyeendelea,,nenda bush utafiti maisha ya kabila hili ambalo ni kubwa Tanzania
HAPA NAUNGANA NA WEWE,HAWANA LOLOTE HAWA NI WAPUUZI TUU HALAFU NI WAHUNI SANA KAMA HUJUI,MIMI NINAONGEA NINACHOKIJUA KAMA MTU ANA WATOTO 11 KILA MMOJA NA MAMA YAKE HAPA UNASEMAJE ? WANAPENDA KUABUDIWA SANA.fyuuuuuuuuuuuuu
 
Mie nilishawahi kukutana na bomu moja la kisukuma khaaa sina hamu na hao viumbe! May be luck was not on my way!
 
wacha siasa...wasukuma wanajua kupenda bana....ata ukibisha hautabadili hilo
Ofcoz, sasa wewe umesema makabila mengi sasa je miongoni mwa hayo makabila mengi wewe na huyo dada mnataka kutuaminisha kuwa tuwa-exclude wasukuma na maana yenu ni kwamba hao wasukuma ni tofauti,.....sasa kulijibu hili uwe makini sana na usitumie hisia vinginevyo utacomit fallacy kubwa sana na ukumbuke jerea zako za nyuma.....mpaka hapo umeshamjibu huyo dada kwa kukanusha post yake.thanx
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Lakini kila kitu ni perception,ipo siku dada mmoja mbeya city alikimbia na towel mpaka kituo cha police,ili kupata usalama,alipigwa na bonge la oversize ya govinder mpaka akataka kukohoa damu,gash, they do have big dick dick you everseen,they fuC up to hell,queen seems to luv large govinder.
 
Haswa ilkuwa tunduma mkuu mwaka 2010 tumetua na lorry tukiwa tunasafilisha ng'ombe maeneo ya Mapolomoko nikiwa na hao wasukuma ishu ya huyo mwanamke anavuka barabara upande wa pili ndo kituo cha polisi katokea lodge kashikilia vichuo,vtight na tunguo twake anapiga kelele.......jamaa atoka zake na lafudhi yake anajisifu....."ninghekavunja haka ka mwanamke''alafu leo kaibuka layman wa mapenzi anajisifu uongo kwa kugeneralize ,nadhani na mby city pia ilitokea
 
kwa ubwege wanaume wa kisukuma wanongoza wanawake wanawapenda kwa sababu wanatawalika kirahisi halafu wakioona k nirahisi kutelekeza mke.

Najua unaongea tu bila kuwa na uthibitisho wowote ule.we as sukuma man,we know how to care! how to handle a girl!also hospitality ni jadi yetu.Inawezekana wewe ndio -----.jiangalia sana.
 
hata sijui maana yake itabidi nifundishwe

Umemaliza mama, Asante sana.kati ya magosha ga g'hana basukuma bakwandya.Hilo halina ubishi miili iliyojengeka,nguvu za kutosha.hakunaga kuchoka hadi kieleweke.utafutaji jadi yetu.hatuna ubaguzi hatujinyimi wewe.
 
Wanaume wa Kisukuma bwana wana tatizo moja..! Akishaonja huko nje anakuwa kama ZUZU..!

Yaani anatelekeza mke na watoto moja kwa moja na anahamia huko huko kwa nyumba ndogo..!

Wanaume wa makabila mengine akipata nyumba ndogo, huku kwa mkewe hakuna kinachobadilika, ma care kama kawa..! Ila hawa KAKA zangu jamani mweeeeeeh..! Sijui ni ushamba au ni kitu gani..!
 
Kivipi tena?mimi sidhani unachoongea ni cha ukweli.
 
habari zenu...

Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.

wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.

trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.

NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

hujakosea queen, umatoa kilicho moyoni. najivunia sana kuwa mmoja wa wanaolengwa na sifa hizi.
 
mapenzi sio test au kozi work unajaribu jaribu tu...we unadhan wote wanatoka kupita mlango moja?
 
Kwakweli hata mimi nawatamani haswaa hao wanaume wa kisukuma kwani nimesikia sifa zao nyingi sana. na ukizingatia niko mpweke yaani ninaanza rasmi kumtafuta mwanaume wa kisukuma ambaye moyo wake utanidondokea kabisaaa.
 
sifa za wanaume wa kisukuma hata mimi nlizipata kwa kweli ila labda nkweli
 
Me siwapendi yaani wanapenda uwatumikie kama yeye ni mfalme. Upo unapika anasema nipe maji ya kunywa.
 
Back
Top Bottom