md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Good! I like honest answer....but beware male circumcision can reduce up to 60% of heterosexual HIV transmission!
Yes Queeny! ...the current National HIV/AIDS prevalence is 5.7% but in the regions where they do not normally practice male circumcision the prevalence is as high as 15.7%.
Source: Tanzania HIV and Malaria Indicator Surveys 2011-12
habari zenu...
Anyway, sisemi ni wote lakini wanaume wa kisukuma walio wengi wanajua kupenda, wanacare, wataratibu, wastaarabu, wana heshima, etc.
wadada nawashauri jaribu msukuma kama huko kwingine unaona mambo hayaendi.
trust me nimefanya uchunguzi mdogo juu ya hili. i know what am talking about.
NB; sijasema makabila mengine hawajui kupenda...

Pia na mabwege halafu ni mashamba na ni mahongaji makubwa tu.Haina haja hata ya limbwata utayaendesha utakavyo.Si ndio raha yenu nyie mabinti.Pambav..
Mkuu ntakuchenjia, ngoja wakusikie akina kiranga na nyani ngabu​.Basi ni ufala
Aaaa, Kaunga!, usiseme hivyo njoo kwangu na mimi ni wa kule kule Lyamidati.Kwasababu wanajua kupenda na kucare basi mwaweza kupangwa hata 3 bila kuhisi kitu. Na miwivi kibao!
I am done with them!
". . . . . .nguvu kitandani?," umejuaje amu?Nawapenda sana yaani they care a lot and gud enough wana nguvu kitandani