jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
- Thread starter
- #341
heheee!!!!nimeipenda hii mada.black is beuty jaman."am proud to be black"
kweli kabisa
heheee!!!!nimeipenda hii mada.black is beuty jaman."am proud to be black"
pole yao!!wanaojichubua, hawajitambui wala hawajielewi.
kweli obama ana mke mzuri
aiseeeee
shelaa uwiiiiiiiiiiii
tyta anajua alikoitoa,vp imekuuma sana au?Umetoa wapi picha ya Ngina Kenyatta, mtoto wa Uhuru Kenyatta?
tyta anajua alikoitoa,vp imekuuma sana au?
basi pole..Nani kasema imeniuma? Mbona unabubujika hivo bila kufikiria?
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......
![]()
hebu tuwekee picha tuone kama kweli ni wamoto
ni kweli mkuu weupe hawana ishu..Yaaap,kumbe tuko wengi mkuu hapo ukiongezea Awe na kaubabe kidogo,dah!! hata nikimwacha home amani tele...
kamata hata kuku mweusi upunguzie hasira.Aicee wakuu hizi picha zimenichanganya na kuongeza mapigo ya moyo...cjui ntaweza kulala mwenyewe?
kamata hata kuku mweusi upunguzie hasira.
unaongea nae taratibu atakubali au hujui kubembeleza?Daah kaka hapa kuna paka mweusi tuu..halafu naskiaga si wazuri sana dah asije akanigeuzia kibao...