Hivi kumbe joto wanalo weusi tuuu? nilikuwa sijui aisee
Kama liwalo na liwe
We ndio umesema kutamani kwingi sanaa nyie lol
Balaaa
Tunaanza juu, chini kushuka rahisi sana, wewe hujui nyota njema inaanza kuonekana mapemaNinataka nione hadi miguuni siyo usoni anaonekana mwemwele miguu ya misumari lol!
liwalo na liwe
KumbeeWa juu ni mtoto wa kagame, wa chini hata kwa kina ole laizer wapo
huyu simuachi