jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
- Thread starter
- #121
Vipi mkuu si yakweli hayo?
shame on you
Vipi mkuu si yakweli hayo?
Hot eeeh.... ????
![]()
Binti kageuzwa daftari la muandiko, la mistari mikubwa na midogo..aha aha aha!!
Kaaazi kweli kweli!!
Mkuu Tyta niwekee na za mapaja banah.. uso sio dili kiviiileee!
mmh si mbaya
Sisi wanaume weupe sijui tutapendwa na wanawake wa aina gani? tunasubiria thread!jamani mimi sina kibezi ujue
Kambi ya fisi ni nini?nenda kambi ya fisi ndo saizi yako
weupe tunamvuto bana!hao weusi ndio hao hao watumia mkorogo,hahaaaa,ili wawe weupe sababu wanaijua wao,mi simo
Baridiiiiii!
wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.ni wa mooooto
2.rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.hachakai haraka
4.halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujmla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beautyyyyyyyyy......................................