Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,782
Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaani nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni:-
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

Kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

IMG_20210512_104650_142.jpg

 
wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.ni wa mooooto
2.rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.hachakai haraka
4.halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujmla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beautyyyyyyyyy......................................

hair-1.jpg
beautiful-black-woman.jpg

CC:Munkari
 
Back
Top Bottom