Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

CINDY
cinDY.jpg

eehewaaaa....ahsante mkuu wangu Tyta
 
Last edited by a moderator:
Mtuache tupumue,kila mtu na choice yke,wanaume wengi wanazuzuka na weupe,thats y wadada weusi wengi hawaishi kujikoboa!weupe dili heheheiyaaaaaa!mi ndukiiiiiiiiiiiiiiiii!

wanaojichubua, hawajitambui wala hawajielewi.
 
weusi wa kung'aa (kuteleza) unamfanya mwanamke aonekane sex especially akiwa na ka-height flani ka kuwaogopesha wanaume kumtokea. Pia anakuwa unique hata kwenye kundi la wanawake wengi, mfano vyuoni.
 
mie nimejipiga mkorogo wa nguvu kwan utanijua kama ni mweusi tii!!!
Nilikuelewa sana kuna siku uliposema mtu bora hata ushinde JF

Kuna watu walikupinga, umeona sasa?

We kweli mkali
 
Back
Top Bottom