Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
mimi maji ya kunde sauti yangu ni chembamba
aisee sampuli zangu hizooo..
mimi maji ya kunde sauti yangu ni chembamba
Hata mwanaume mweusi ana mvuto wa kipekee
Japokuwa nimekuwa nikisemwa kwa kupenda wasichana weupe ila niseme ukweli mabinti weusi wana joto tofauti na utamu tofauti kabisa. Maswala ya nyama ile ile ila bucha tofauti haya apply hapa!
Watoto weupe hata wawe wazuri vipi nanihii inakinaisha haraka lakini black beauty bana mh.... unaweza tia aibu mwanaume dakika mbili ushamaliza round 1!
aisee sampuli zangu hizooo..
Eti mwanamke na kibesi wapi na wapi????
halafu kitabu kava jeusi ila ukifungua ndani rangi ya kurasa zake utatamani kusoma tuuu! waweza jik&*$#e duh! i salut em for their sweetiness!
Sasa mkiwa kwenye majambozi mtu akipita kwa dirishani si atajua uko na Aunt George au aunt peter tena
Hata mwanaume mweusi ana mvuto wa kipekee
Kiafrika zaidi yaani mpango mzima
Na ndio wazungu wanaita "Romantic Voice"sauti inakua na mikwaluzo raha tupu
Wakuu mimi napenda
sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu
zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu
au mnasemaje?
always black is beauty......
![]()
Jamani mweusi ni mtamu kinoma raha kitu halisi