Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Navutiwa sana na mwanamke mweusi

Wakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto

2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe

3.Hachakai haraka

4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa

kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......

tarou+mrembono1.jpg

Huyo wa juu ukimlinganisha na dada yake na Matola basi huyo ni zeruzeru!

Manake huyo sister ake na Matola ni mweusi mpaka anaskia maumivu!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli tupu. Mimi nkiona wale wa mkorogo napata kiungulia.
 
Weupe wazuri ila sasa wanaboa baada ya kukaa nao mda. Weusi hawachoshi macho kila siku unamuona mupiya.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Japokuwa nimekuwa nikisemwa kwa kupenda wasichana weupe ila niseme ukweli mabinti weusi wana joto tofauti na utamu tofauti kabisa. Maswala ya nyama ile ile ila bucha tofauti haya apply hapa!
Watoto weupe hata wawe wazuri vipi nanihii inakinaisha haraka lakini black beauty bana mh.... unaweza tia aibu mwanaume dakika mbili ushamaliza round 1!
 
safi sana mkuu
 
Back
Top Bottom