Kama liwalo na liwe
Nini tena hapo?
Lupita Anyany Nyong'o!
Kama ni mfano itabidi nipumzike upande wa kushoto
Hata weupe ni watamu mbona,na ni wa moto achen kujidanganyaa,
Hata weupe ni watamu mbona,na ni wa moto achen kujidanganyaa,
Weupe nao ni wazuri tatizo tuna kifu haraka.
Kama ni mfano itabidi nipumzike upande wa kushoto
Kulia anaweza kuwa mke wa pili
Kama nina wawili tayari huyo wa upande wa kulia atakuwa watatu
Kama nina watatu halikadhalika huyo wa kulia atakuwa nne
Chombo hapo kushoto
Eti wewe wa baridi?Wengine wanapenda weupe!!!!!!
Weusi kama wa Lupita Nyong'o