kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 4,004
- 10,760
Weka ushahidi wa picha mkuu.naipenda sana rangi yangu (black)and i feel proud of it.
Weka ushahidi wa picha mkuu.naipenda sana rangi yangu (black)and i feel proud of it.
Wewe kiumbe upo hapa hapa duniani ama umetekwa?yes black is beauty ila hapo kwenye kibesi tena!!,kwwa kweli hapajakaa poa
ulipoongelea suala la sauti nmefarijika sana, ntalala vizuri leo. mana nljua tusiokua na saut nyororo tumeishaWakuu mimi napenda sana wadada weusi yaan nikiwaona huwa nachanganyikiwa na sababu zinazonichanganya ni
1.Ni wa mooooto
2.Rangi yao hainunuliwi dukani kama weupe
3.Hachakai haraka
4.Halafu akiwa na kibesi au sauti nzito kidogo ananiua kabisa
kwa ujumla wadada wa aina hii huwa nawapa kipaumbele sana machoni pangu au mnasemaje?
always black is beauty......
![]()