Iko hivi,mwanamke ameumbwa na hali ya kumtegemea mwanaume hii iko kwenye ubongo wake tokea anazaliwa,she needs a shoulder to lean on,sio kwamba peke yake hawezi ila ameumbwa kumtegemea mwanaume,ndio maana mnaweza wote mkawa mnafanya kazi lakini bado atakuomba pesa zako.Hii sio kwamba anajifanya ndio raha yake kuona mwanaume ndiye anayemfanyia,hata kwa mfano ikitokea ghafla kuna kitu kina mtisha lazima atakukimbilia wewe na kukushika kama nguzo yake,nasema tena,hii iko kwenye ubongo wake,kwahiyo unapokuwa na uwezo hasa wa kiuchumi kwake inakuwa ni bora zaidi kuliko usipokuwa nacho,kwani ule utegemezi kwako unakuwa na manufaa zaidi kuliko kuwa na mwanume asiyekuwa na kitu,na hii imewafanya wanawake hata inapokuja kuangalia swala la mwanaume wa kuishi naye kama mume,huwa hawako intereseted sana na uzuri wa sura,wanaangalia zaidi nguvu ya kiuchumi,hii inafanyika automatically kwani mwisho wa siku kutakuwa na watoto watazaliwa ambapo furaha yake ni kuona wanaishi maisha bora zaidi,wanasoma,wanakuwa na afya bora n.k.kwahiyo wanaume wenzangu tutafute tu pesa.Hili halipingiki hata kwa wanyama,wale wenye nguvu ndio wanaokubaliwa au kupata wanawake/majike wa kuzaa nao,na wale wasio na uwezo wanaishia kuvizia tu au kukosa kabisa...Japo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua
Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)
Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu
Madhaifu yake
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28
- Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
- Hana pesa kabisa
- Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
- Ni mpole
- Hana dharau
- Anajali
Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu
linawezekana sanaJapo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua
Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)
Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu
Madhaifu yake
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28
- Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
- Hana pesa kabisa
- Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
- Ni mpole
- Hana dharau
- Anajali
Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu
Hivi dhaifu unaisha ukiwa na pesa kiasi gani
Ukiona nimeweka uziHii imeenda😛
Woiiiiii naona mshamba_hachekwi Ume fikiriwa kijana 😂🤣🤣🤣😂Me nikimpenda mradi anapiga show vema mbona fresh.
Pesa tutazitafuta huko mbele ya safari
Pesa Zina tafutwa 💪🙏, mkiwa na mission + vision nzuri.thamani ya mwanaume haibebwi na pesa tu, huku watu wanatype tu....
ndo maana unaona hata maskini wanaoa
Sasa ulikubalije akakulipia mahari sasahiv ndo unajiuliza au ulitupiga kamba [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa unauliza kama inawezekana kumpenda na wewe tayari ushampenda. Wanawake mambo yao bna.
Yaani hapa unatafuta watu wa kukuunga mkono ili ujitongozeshe au jamaa akukule kimasikhara.
Mpaka amekutongoza ujue kaona mnafanana, wanaume huwa tunatongoza wanawake tunaowamudu ...
Kwa hiyo hio ni type yako kabisa
Ni mzuriii?? Wamasai wanakuwaga na viuso vizuri zuriniambie nikuunganishe na mmasai wa loliondo kama ndo hivyo😂
Usikilize MOYO wako
Meseji yenyewe ya kukujulia hali anakuandiki 'm amb wang umeAmkaj'
Kumbe amekupiga vocal akiwa humu humu