Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,245
- 42,009
Umemalizaaa dear!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka kitu.
Nihadithie hicho kitu basi kipenzi[emoji3526]
Umemalizaaa dear!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka kitu.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Elimu ya Watu wazima au siku hizi haipo?
Hizo meseji ana andikiwa? Umesema hajua kusoma basically kuandika mtihani pia au hapo mnawasiliana vipi by face to face au... Wee ishi nae tu dada etu maisha ni haya haya....
Wakaka wanaosomesha wachumba zao chuo, mwishowe wanaachwa, wanakua wamewapiga matukio gani hao wadada HannahMkuu unasalitiwa au kupigwa matukio kwa sababu wewe ndio umeanza kumpiga matukio mwenzako na yeye anaamua alipize.
Kwa Wanawake waki Afrika haiwezekani ila kwa wanawake wa ulaya wao wanaangalia upendo, pesa Elimu siyo shida zao.Japo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua
Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)
Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu
Madhaifu yake
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28
- Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
- Hana pesa kabisa
- Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
- Ni mpole
- Hana dharau
- Anajali
Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu
Unamfundisha tu.Atabadilika vipi hajui kusoma ina maana nimfundishe ama [emoji23][emoji23]