Nauliza hili linawezekana kweli

Nauliza hili linawezekana kweli

Mtu akiwa mcha Mungu atayatafuta maarifa, nategemea atajua kusoma pia. Tofauti na hapo ni anasali tu.

Kumcha Mungu ni kitu kikubwa sana.

Alichukuliwa akiwa mdogo akaletwa kuchunga ng’ombe kwaiyo hakuwa kusoma kabisaa

Kinachonihuzunisha ni kuwa nyumba anayokaa ni ya walimu kabisaa kulikuwa na uwezekano wa kumfundisha kusoma lakini hawajamfundishaa

Mkuu hata ukimuandikia ā€œBabaā€ hawezi kusoma hajui kabisaa
 
Huko kumpenda ā€œbila sababuā€ ndio sababu yenyewe.

Yaani uhalisia wa mapenzi upo hivi.

Kuna kupendwa kweli yaani moyo umependa bila kujali una hali gani ya maisha. (Nahisi ndio huko kupenda bila sababu).

Halafu kuna kupenda kwa sababu ana kitu. Hapa ni either iwe ana hela au ana tako au ni handsome au beautiful nk.

Ooo kumbee
 
Huyo ni mwehu tu,miaka 28 anachunga mifugo ya watu..afu anaimba kwaya ,atakula kwaya??

Nazani akili ijafunguka na sizani Kama wanamlipa huenda wanaishi kama ndugu maana alichukuliwa akiwa mdogo kabisaa
 
Iko hivi,mwanamke ameumbwa na hali ya kumtegemea mwanaume hii iko kwenye ubongo wake tokea anazaliwa,she needs a shoulder to lean on,sio kwamba peke yake hawezi ila ameumbwa kumtegemea mwanaume,ndio maana mnaweza wote mkawa mnafanya kazi lakini bado atakuomba pesa zako.Hii sio kwamba anajifanya ndio raha yake kuona mwanaume ndiye anayemfanyia,hata kwa mfano ikitokea ghafla kuna kitu kina mtisha lazima atakukimbilia wewe na kukushika kama nguzo yake,nasema tena,hii iko kwenye ubongo wake,kwahiyo unapokuwa na uwezo hasa wa kiuchumi kwake inakuwa ni bora zaidi kuliko usipokuwa nacho,kwani ule utegemezi kwako unakuwa na manufaa zaidi kuliko kuwa na mwanume asiyekuwa na kitu,na hii imewafanya wanawake hata inapokuja kuangalia swala la mwanaume wa kuishi naye kama mume,huwa hawako intereseted sana na uzuri wa sura,wanaangalia zaidi nguvu ya kiuchumi,hii inafanyika automatically kwani mwisho wa siku kutakuwa na watoto watazaliwa ambapo furaha yake ni kuona wanaishi maisha bora zaidi,wanasoma,wanakuwa na afya bora n.k.kwahiyo wanaume wenzangu tutafute tu pesa.Hili halipingiki hata kwa wanyama,wale wenye nguvu ndio wanaokubaliwa au kupata wanawake/majike wa kuzaa nao,na wale wasio na uwezo wanaishia kuvizia tu au kukosa kabisa...

[emoji91][emoji91]
 
Ngoja kwanza! Laki 3 kwa mwaka? Yani kila mwezi analamba afu 25!! Aloooo hii [emoji478]

Ndioo wala sio chai si anachunga ng’ombe analala na kula kwa tajiri ake
 
Back
Top Bottom