Nauliza hili linawezekana kweli

Nauliza hili linawezekana kweli

Japo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua

Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)

Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu

Madhaifu yake

  • Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
  • Hana pesa kabisa
  • Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28

Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
  • Ni mpole
  • Hana dharau
  • Anajali


Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu
Mwanaume kuwa na miaka zaidi ya 28, tuseme mwanaume ana miaka 32, huo ni udhaifu kwa mwanaume? wadada wengi hawapendi mwanaume mwenye miaka30+? mamamzungu
 
Haiwezekani kumpenda mtu bila sabab hata mama yako tu anakupenda kwasababu we ni mwanae

Kama we huyo jamaa umempendea sauti na sijui unasema unajua mapenzi

Point ni wewe unajiona akiwa ni boyfriend au mme wako, kama no, unaweza kumbalisha?, unaweza kubadilika, kama no, unaweza tu endelea tu kumpenda kama ndugu jamaa au rafiki
 
Mwanaume kuwa na miaka zaidi ya 28, tuseme mwanaume ana miaka 32, huo ni udhaifu kwa mwanaume? wadada wengi hawapendi mwanaume mwenye miaka30+? mamamzungu

Zingatia anakaa kwa watu anachunga ng’ombe… wanamlipa mpk mwisho wa mwaka

Angalau angekuwa anajipigania vibarua huko barabarani
 
Haiwezekani kumpenda mtu bila sabab hata mama yako tu anakupenda kwasababu we ni mwanae

Kama we huyo jamaa umempendea sauti na sijui unasema unajua mapenzi

Point ni wewe unajiona akiwa na boyfriend au mme wako, kama no, unaweza kumbalisha?, unaweza kubadilika, kama no unaweza endelea tu mpenda na ndugu jamaa au rafiki

Atabadilika vipi hajui kusoma ina maana nimfundishe ama [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom