Nauliza hili linawezekana kweli

Nauliza hili linawezekana kweli

Mimi pia sina hela

Vipi tutazungumzaje na mwenzangu hajui kusoma namaanisha hata sms ukimtumia hajibu anapiga simu anasema yeye hajui kusoma wala kuandika
Sasa ulikubalije akakulipia mahari sasahiv ndo unajiuliza au ulitupiga kamba 😀😀😀
 
Sasa unauliza kama inawezekana kumpenda na wewe tayari ushampenda. Wanawake mambo yao bna.

Yaani hapa unatafuta watu wa kukuunga mkono ili ujitongozeshe au jamaa akukule kimasikhara.
 
Mwanaume kuwa na miaka zaidi ya 28, tuseme mwanaume ana miaka 32, huo ni udhaifu kwa mwanaume? wadada wengi hawapendi mwanaume mwenye miaka30+? mamamzungu
Kwa scenario hii ni udhaifu. Unamiaka 32 unakaa kwa watu unakatia ng'ombe majani? Unakuwa umedumaa akili. Mwenye miaka 18 akifanya hivyo ni sawa maana ana uwanja mpana wa kujitafuta
 
Huko kumpenda “bila sababu” ndio sababu yenyewe.

Yaani uhalisia wa mapenzi upo hivi.

Kuna kupendwa kweli yaani moyo umependa bila kujali una hali gani ya maisha. (Nahisi ndio huko kupenda bila sababu).

Halafu kuna kupenda kwa sababu ana kitu. Hapa ni either iwe ana hela au ana tako au ni handsome au beautiful nk.
 
Back
Top Bottom