Nauliza hili linawezekana kweli

Nauliza hili linawezekana kweli

ajue kusoma na kuandika awe na pesa sa mtu hajui hata kuandika jina lake tutachat vp
Ajue kusoma awe na Pesa, akiwa na Pesa hajui kusoma na kuandika vipi unamtunuku kipochi manyoya akichambue?
 
Zingatia anakaa kwa watu anachunga ng’ombe… wanamlipa mpk mwisho wa mwaka

Angalau angekuwa anajipigania vibarua huko barabarani
huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi kwanza mwisho wa mwaka anauhakika wa kupata chochote ,we navyeti vyako huna chochote unamiliki begi la lipstick vyeti vyako vinaliwa na mende kabatini,kusoma sio kuwa na maarifa.hujiulizi babu zetu hawakusoma lakini waligundua moto, jiulize walipataje akili kwamba tukipikicha vijiti viwili ulindi na uwimbombo tutapata moto,na kipindi hicho hakuna shule? nakwambia huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi sana,usimu dharau hata hawa wanaovumbua teknolojia wanaelimu ya kukalili kama wewe??,NB unaweza kuwa huna elimu dunia lakini una maarifa mfano binadamu asiye na digrii alivumbua ndege (wright brothers),moto kwa kupekecha vijiti viwili,zana za chuma kama vile visu,hawa hawa ambao hawana digrii ndo wamekuzaa wewe,wameza majiniz wa technolojia,matajili wa dunia..pesa kwanza vyeti ni uchafu
 
Memkwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]daaah mkuu unajua nipo seriously imagine unamwambia nimekumis anakuuliza ndio nini [emoji1787][emoji1787]
 
huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi kwanza mwisho wa mwaka anauhakika wa kupata chochote ,we navyeti vyako huna chochote unamiliki begi la lipstick vyeti vyako vinaliwa na mende kabatini,kusoma sio kuwa na maarifa.hujiulizi babu zetu hawakusoma lakini waligundua moto, jiulize walipataje akili kwamba tukipikicha vijiti viwili ulindi na uwimbombo tutapata moto,na kipindi hicho hakuna shule? nakwambia huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi sana,usimu dharau hata hawa wanaovumbua teknolojia hawana digrii kichwani,NB unaweza kuwa huna elimu dunia lakini una maarifa mfano binadamu asiye na digrii alivumbua ndege (wright brothers),moto kwa kupekecha vijiti viwili,zana za chuma kama vile visu,hawa hawa ambao hawana digrii ndo wamekuzaa wewe,wameza majiniz wa technolojia,matajili wa dunia..pesa kwanza vyeti ni uchafu
 
Mwanamke anahitaji kutunzwa ili awatambie wenzake hii ni asili, thus ndoa zote mjini zinasitiriwa na pesa.
Ndo maana ushauriwa jijenge kwanza ndipo uoe,mke kaja kutunzwa na Sio kuhangaika
 
huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi kwanza mwisho wa mwaka anauhakika wa kupata chochote ,we navyeti vyako huna chochote unamiliki begi la lipstick vyeti vyako vinaliwa na mende kabatini,kusoma sio kuwa na maarifa.hujiulizi babu zetu hawakusoma lakini waligundua moto, jiulize walipataje akili kwamba tukipikicha vijiti viwili ulindi na uwimbombo tutapata moto,na kipindi hicho hakuna shule? nakwambia huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi sana,usimu dharau hata hawa wanaovumbua teknolojia wanaelimu ya kukalili kama wewe,NB unaweza kuwa huna elimu dunia lakini una maarifa mfano binadamu asiye na digrii alivumbua ndege (wright brothers),moto kwa kupekecha vijiti viwili,zana za chuma kama vile visu,hawa hawa ambao hawana digrii ndo wamekuzaa wewe,wameza majiniz wa technolojia,matajili wa dunia..pesa kwanza vyeti ni uchafu

My dear ukisema ananizidi kwa hela unakosea [emoji23][emoji23]

Mimi kwa mwezi nina zaidi ya hiyo pesa ake kwa vichenji chenji vinavyobaki sokoni….. so labdaa anizidi umri na mambo mengine
 
Back
Top Bottom