Nauliza hili linawezekana kweli

Nauliza hili linawezekana kweli

Pesa na kusoma anaweza kuvipata akiamua

Lengo la Maisha ni Furaha ukimpa plan anavuka Mapema before hujampenda mtu yapende Maisha yake kwanza.
 
Mcheshi mpole.
Tabia ya mtu utaijua akishika Note.
Huwenda hivyo ulivyo kunatokana huna pesa.
Pia kwa Karne hii mapenzi bila pesa ni sawa na bure.
Labda cha kukupa taff uwe na akili ya wapi pesa iliko.
Tofauti na hapo broo hakuna mapenI.
 
Mcheshi mpole.
Tania ya mtu utaijua baada ya kushika Note.
Huwenda hivyo ulivyo kunatokana huna pesa.
Pia kwa Karne hii mapenzi bila pesa ni sawa na bure.
Labda cha kukupiga taff uwe na akili ya wapi pesa iliko.
Tofauti na hapo broo hakuna mapenI.

Sawa bruu
 
Back
Top Bottom