Nauliza hili linawezekana kweli

Nauliza hili linawezekana kweli

Japo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua

Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)

Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu

Madhaifu yake

  • Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
  • Hana pesa kabisa
  • Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28

Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
  • Ni mpole
  • Hana dharau
  • Anajali


Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu
Kwani mnaposema 'mwanaume machine' mana'ake nini?!
 
Vigezo vyako sioni Kama vina mashiko labda ungetaja udhaifu wa kimaumbile/kitabia n.k

Huoni vipi… wewe huoni tunaishi dunia tofauti kama mtu hawezi kusoma wala kuandika inamaana kufikisha ujumbe ni mpk muongee hata Kama jambo la sirii
 
Sifa za mwanaume ulizotaja Hapo juu ni za kitabia zaidi rudi ufananishe na udhaifu ambao ulioegemea kwenye Kazi/elimu na Umri yaani sio wa kitabia
Sijui kama unaelewa vzr tofauti ya vigezo ulivyotaja
 
Sifa za mwanaume ulizotaja Hapo juu ni za kitabia zaidi rudi ufananishe na udhaifu ambao ulioegemea kwenye Kazi/elimu na Umri yaani sio wa kitabia
Sijui kama unaelewa vzr tofauti ya vigezo ulivyotaja

Vyote ni vya msingii ndio maana nimetajaa
 
Binafsi sijawahi... sema sijui kesho imebeba nini.
Unaweza kuta ni mkaka mzuriiiiiii
Hizo changamoto za hela mbona utaenda na hela zako jamani

Cc Lenie

Mimi pia sina hela

Vipi tutazungumzaje na mwenzangu hajui kusoma namaanisha hata sms ukimtumia hajibu anapiga simu anasema yeye hajui kusoma wala kuandika
 
Back
Top Bottom