Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Oky wazo zurii ...ilaa Anza na dada zako hapo nyumbani,shangazi zako,mama zako wadogo waaze utaratibu wa kuvyaa shanga
 
Hata vimini vinavutia Ngono.. jeans za kupana na vikaptula...wavaaji..unawaitaje?

Swali gani hili, hayo ni mavazi ya kikahaba basically... japo kuna wafuata mkumbo wachache kwao ni fashion tu.

Hata kwa maelezo ya wavaaji humu wanasema shanga ni za kuamsha maruhani, sasa anayezivaa muda wote kama jezi/gwanda... maana yake yeye ni wa ngono 24/7.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom